HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
Kwa moto huu tunaopeleka, hiyo mechi ya 27 aprili itakuwa mechi tutakayotambulishwa rasmi kama mabingwaHata wasikutishe ni kawaida yao hawa kima wakikutana na walevi.
Mechi zao za mchekea ndio zinaelekea tamati, wiki ijayo wanakutana na Newcastle lazima wateme bungo, halafu fixture yao ya March, April na May ni mwendo wa kurudisha chenji, mechi 3 za mwisho watakua wanapambana na kina Villa na Spurs kuingia top 4.
1- City
2- Kuku
3- Nyumbu
4- Villa, Spurs na Arsenyau View attachment 2907327