Recent content by MSUKUMA02

  1. MSUKUMA02

    FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Unakaa kabisa chini unaiombea taifa stazi ishinde,hakika Ni kumkosea muumba kwenye maombi
  2. MSUKUMA02

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Zote hizi Ni hasira za ukarani tu daaaaaah nchi ngumu Sana hii
  3. MSUKUMA02

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Umeandika kwa uchungu Sana mkuu[emoji23][emoji23]
  4. MSUKUMA02

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Majina wilaya ya kinondoni nasikia yametoka usiku huu, Salamu kwenu wanadaslamu wa kinondoni
  5. MSUKUMA02

    Hakuna wa kunishawishi: Hayati Magufuli ni Rais bora wa awamu zote

    Mama anatunyoosha usipime mpaka tunakumbuka wafu
  6. MSUKUMA02

    Serikali izifute Simba na Yanga, hatujachelewa

    Kuna watu wanawaza kwa kutumia kwato za miguu hakika
  7. MSUKUMA02

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwani mama hajatoa tamko lolote kuhusu vita vya huko?
  8. MSUKUMA02

    Nina shida ya kuipata hii movie

    jaribu kuingia hapo telegram kwa hiyo link labda ndiyo yenyewe
  9. MSUKUMA02

    Serikali iingilie mavazi harusini

    Mkuu kwani kwenye kadi ya mualiko uliambiwa ukaangalie mavazi au kula ubwabwa?
  10. MSUKUMA02

    Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Nimepita kwenye huu uzi kuona kama kuna wanasheria wanaichambua kesi ya yule jamaa wa katiba mpya kumbe uzi umekufa huu
  11. MSUKUMA02

    Biashara ya ngono inayofanywa mitandaoni

    Kwa hiyo vijana wengi naona mnasumbuliwa sana na masuala ya ngono sio kubomolewa vibanda tena
Back
Top Bottom