Dead thread, unaona mtu mmoja anaweza àkawa na akili kuliko watu milioni 60! Kuondoka Dragon, kila kitu kimekufaNimepita kwenye huu uzi kuona kama kuna wanasheria wanaichambua kesi ya yule jamaa wa katiba mpya kumbe uzi umekufa huu
Boss link hujapata badoKuna group la telegram la materials lipo kule uzuri telegram vitu havifutiki.. Pia ukihitaji document unasema sio kutokuwepo kwa mkuu Dragoon na docoument zisiwepo kila mwanasheria naamin anazo kwa hiyo tutasaidiana tuu...
Ata kwa link za kupata hizo document pia
Mkuu Retired ametoa link ya tanzlii hiyo ni official website tunapoenda huko mbelen law reports nazani zitamezwa na Tanzlii zote.. Tuitumie ni nzuri
Link ya telegram nikipata nitaleta maana group lipo active sanaa
Aluta continua
karibu Mkuu🙏
Kama unahitaji namna ya kusearch huko telegram utanijuza....
Mkuu nahitaji public health regulations, 2012 zilizotungwa chini ya Sheria ya Public health act, 2009.Business lawView attachment 1748986
Mkuu nimevutiwa na ukarimu wako wa kushare MAARIF..Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.
Binafsi nina e-library kubwa sana na napenda kushirikisha wengine kwa hivi vitu, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.
Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.
Wanasheria karibuni sana
ulikufa zamani sna baada ya Dragoon kutorokaNimepita kwenye huu uzi kuona kama kuna wanasheria wanaichambua kesi ya yule jamaa wa katiba mpya kumbe uzi umekufa huu
habari humu naomba mwenye documets kuhusiana mgawanyo wa mali za marehemu ( non indian Act ) asanteHapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.
Binafsi nina e-library kubwa sana na napenda kushirikisha wengine kwa hivi vitu, isipokuwa kuna baadhi ya vitabu vina kopyright so sitoweka hapa kwenye public itabidi nikutumie kwa email adress au vinginevyo.
Pia mjadala wowote wa kisheria ni vizuri ukawekwa hapa ili tuwekane sawa.
Wanasheria karibuni sana