Hongera sana kwa kujikubali na hiyo ndo tiba namba moja ya hili tatizo. Ninamfahamu pia mtoto wa ndugu yangu alizaliwa HIV+ nadhani sasa anamiaka 30 au 29 na yuko vizuri tu. Kuna magonjwa habari zaidi ya Ukimwi.
Mkuu nimesoma comments zako nimekukubali tofauti na watoa maada wengine, Mimi ni christian ila nakubaliana nawe kuwa suala LA ugaidi ni utashi Wa MTU.
Mimi nionavyo watu wananyooshea sana uislamu kuwa ugaidi sababu uislamu umeegemea sana tamaduni ya kiarabu sana na waarabu hata lugha wanayotumia...
Hz app Mimi nikidownload hazifanyi kazi ipasavyo mf nimeinstall app ya IDMDB series kucheki ni kwa kununua na app ya tubetv series sizipati hebu welevu nisaidieni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.