Recent content by mshungas

  1. M

    Natafuta kazi, nisaidieni

    ni kweli usitaje makabila ya wstu,chizi mmoja akikuzingua. Maana tabia za watu ni wao binafsi...na si makabila Yao..au rangi zao.
  2. M

    Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

    Jamani kafa kwa ajali,au kaanguka na kufa ghafla..? Which is which
  3. M

    Hali ya hewa kuwa mbaya

    mweeh hapo ndipo ulipoishia!!!
  4. M

    Hali ya hewa kuwa mbaya

    tena wataenda na watoto wao mbongo mbishi bwana.
  5. M

    Hali ya hewa kuwa mbaya

    hulazimishwi kuamini. ukitaka hata zenji nenda kwa boti. ndani ya siku hizo.
  6. M

    Hali ya hewa kuwa mbaya

    ndio maanake.
  7. M

    Meseji hii inayosambazwa na watumiaji wa Whatsapp ina ukweli?

    lengo kuu la watengenezaji wa msg hizo ni kutaka saver za whatssapp zi jam...maana zikitumwa kwa mpigo ...lazima saver zijibu..me cjawahi kutuma na cjawahi kufungiwa miaka 2 sasa.. ikija ifute potezea..ni wapinzani wao hao.
  8. M

    Zamaradi Mketema ni Mnafiki na Mchochezi Anaanzisha Ma Beef Kati ya Wasanii Kujipandisha Chati!

    Hao wanaochonganishwa kwani hawana akili? Au ni watoto wadogo...kile kipindi tu...jamani!!! Daah
  9. M

    mh iddi Azan ajibu shutuma

    HayA ila lisemwalo.....?
  10. M

    Kuoa bila sherehe, mtazamo wako.

    yani me nishatoa tangazo la la siku 21 pale bomani ,bado siku nane..naenda kufunga ndoa kimya kimya na mashahidi ...naenda kwetu kwa wazaz wangu,tunapata chakula na wakwe na rafiki zetu wachache...siku inayofuata me na wife zenjiiiiii...tukirudi likizo ya week 2 zimeisha mke job me job...kwisha...
  11. M

    Mwakilishi kutoka Tanzania Big Brother Afrika (BBA) apigana ndani ya jumba!

    Ndio maanake hilo ndilo jina lake, lakin multchoice tz wanaangalia vigezo gani ndio wakupeleke huko kwa kaka mkubwa..? Hapa Richie tu na Mwampamba ilikuwa bahati hata kuwapata...hebu kumbukeni Latoya,Bhoke mwenzie Lotus wote wa Eatv walifanya nini kule?...vigezo gani vinatumika kuwapata?...sisi...
  12. M

    Access bank

    Stanbic ndio mpango mzima huko kwigine majanga...me nilifanya ,access hizo semina zao zolokuwa bonge la shule safi sana...baada ya hapo contract inasem eti mia 180000/= nikasepa.
Back
Top Bottom