Natafuta kazi, nisaidieni

Natafuta kazi, nisaidieni

kupata kazi humu dada kwakweli ni ngumu sana, wengi wataishia kukutongoza tu, vp umejaribu ktk site nyingine za ajira

kaka sio wote wenye tabia hiyo wapo wengine wana heshima zao na wanajiheshimu.. bado sijapata
 
Nilikuuliza kuwa uzoefu wa sales and promotion umeupata wapi au branding pia ambao umesema unao umeupata wapi. Suala la mwisho nilikuuliza unaishi wapi kwa sasa
 
Mkuu nilikujibu pia nilikutumia pm,
mm ujuzi Wa sales and promotion niliupata kwenye makampuni ya marketing kama, Masoko company Ltd, Integrated Communication ltd, na experiential Marketing ltd. na kwa sasa mm nipo Dar es salaam
 
Sawa nimekupata vizuri, oky sawa ninampango wa kuanzisha ofisi muda mfupi ujao itahusika na mambo mengi iliyopo inahusika na credit and finance. Sasa lengo ninataka kuongeza biashara ya bima na debt collection ninadhani utanifaa ofisi itakuwa wilaya ya temeke unaweza tuma application ili niwe na request yako pia unaweza tuma email ya request kwenda kaeinvestment@gmail.com adress kwa Chief Executive Officer, KAE INVESTMENT LIMITED P o box 23782 Dar Es Salaam-Tanzania. All application zipitie email. Thanks you are warmly welcome
 
Asante, nashukuru sana Mkuu ngoja nitume now
 
Wakuu bado nasubiria msaada kutoka kwenu

dada jaribu kuapply kazi za almashauri wiki hii zimetoka nyingi,mfano arusha,kwimba au mwanza walikuwa wanataka mtu mwenye certificate,PIA jitahidi kuongeza eiimu kama utapata kazi,jiunge na open university Ada zao Ni ndogo sana
 
Kazi gani hizo Mkuu na zimetangazwa wapi, naomba unisaidie kuniwekea link yake mkuu
 
Acha kashifa... Usi generalize kila kitu. Kama muhaya ndo ana kazi na amekuona unafaa unadhani atakuchukua akisoma comment hii?..... Mambo mengine tunajiharibia hvi hvi.
ni kweli usitaje makabila ya wstu,chizi mmoja akikuzingua.
Maana tabia za watu ni wao binafsi...na si makabila Yao..au rangi zao.
 
kuna nafas ya receptionist pongwe bay resrt zanzibar.kama unaweza karibu kwa interview.tuone kama utakua na ubora tunaohitaj tutakuchukua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom