Hali ya hewa kuwa mbaya

Hali ya hewa kuwa mbaya

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kutokea upepo mkali pamoja na mawimbi makubwa baharini katika maeneo yote ya Pwani kuanzia kesho na kesho kutwa.

hao nao sijui huwa wanaoteshwa!? Mara nyingi wamekuwa waongo sana.
 
zinapita kontena za pembe nin??? Mi sjawah ona utabiri wao umefanikiwa, mwaka huu mwanzoni wamesababisha nabii feki mmoja apate sifa za kijinga kwasababu ya utabir wao wa kijinga
 
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kutokea upepo mkali pamoja na mawimbi makubwa baharini katika maeneo yote ya Pwani kuanzia kesho na kesho kutwa.

Huwa hawaaminiki hawa
 
Kwaio kesho tutaenda wapi kama beach tusiende?
 
mh! . . .kesho na kesho kutwa?? Kabisa?? Yaani x-mass na....???
 
Taarifa toka TMA isipuuzwe. Wazazi/walezi nawasihi msipeleke watoto wenu kwenye fukwe za bahari. Chukueni tahadhari kwani haikugharimu chochote kuchukua tahadhari.
 
Watanzania tuache mzaha kwenye mambo ya maana
 
Jamani wakati mwingine tujifunze kutilia maanani haya mambo, kwa wale walioko Zanzibar watakubaliana na mimi kwamba sasa hivi kuna upepo sana Unguja. Na hii huenda ikaathiri safari za boti. farkhina waelezeeeeee!
 
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kutokea upepo mkali pamoja na mawimbi makubwa baharini katika maeneo yote ya Pwani kuanzia kesho na kesho kutwa.
kwa leo hatuendi bichi mbona hivo ngoja tumsikilizie tb joshua atasemaje..
 
Mzee wa Upako yupo kama aliweza kustopisha mvua mwakajana.hataili tusiofu ataliepusha lisitokee.
 
Nimesikia hali ya hewa kuwambaya je?kunahaja ya vyombo vya hali ya hewa kumwona mzee wa upako awezekuliepusha janga ili kama alivyostopisha mvua mwaka jana.
 
Nimesikia hali ya hewa kuwambaya je?kunahaja ya vyombo vya hali ya hewa kumwona mzee wa upako awezekuliepusha janga ili kama alivyostopisha mvua mwaka jana.

Pambafu
 
Back
Top Bottom