Hali ya hewa kuwa mbaya

Hali ya hewa kuwa mbaya

Ianzie Ostabei, Masaki iende mpaka mbezi beach ikatize kidogo na KunduCHi....alafu iambatane na kasunami ka kishkaji kaende kule mjengoni..dodoma..alafu ije kumalizia lile gofu jeupe pale ma(gox2)ni...finaly i will be happy Again
 
Vip upepo tu ama na mvua make haya ni mambo mawili tofauti
 
Km hukubaliani nao nenda kajirushe, Ila habari Yenyewe imekaa kimtego mtego
 
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kutokea upepo mkali pamoja na mawimbi makubwa baharini katika maeneo yote ya Pwani kuanzia kesho na kesho kutwa.

Kesho na keshokutwa ni lini? Weka tarehe bana!
 
hao wakikosa kazi huwa ni kutia watu hofu.Mwaka jana walisema itanyesha mvua ya mafuriko dsm,kilichotokea jua la kufa mtu hata manyunyu hatukuona

hulazimishwi kuamini.
ukitaka hata zenji nenda kwa boti. ndani ya siku hizo.
 
Huo utakuwa utabiri wa Kova ili ku enhance security.
 
Ubishi shugulii!!
likitokea zengwe musiseme hamjaambiwa habari ndo hio hapo ukutan!
 
dah xmass imeshaharibika tena hivyo, no kujirusha beach

Je Krismasi ndio siku maalumu ya kutembelea fukwe??? Pole! Naona ullipanga kwenda kuangalia vyupi vya watu, hasa walilewa pombe, mapenzi. Fukwe zote zifungwe, tahadhari itolewe. Kuna watu lwenye uwezo wa Daraja la Tano, wasijekwenda.
 
Sidhan kama watanzania wengi watakua na taarifa,,,nilibahatika kusoma taarifa hii kwenye ukurasa wa tweeter wa east africa redio
 
waongo wakubwa hawa..wanataka tusiende coco kugegeda milupo ...mxxxxxxx..upepo ndo mzuri acha uje maana ndo unatupa nyege vibaya sana
 
!
!
hao TMA wameshaangalia CNN au katika viandroid vyao wanasema wametabiri......teh teh teh teh, tunazo na sie hizi android jamani

Jamani hebu muwape credit hao TMA. Siku hizi kuna wasomi wengi, na vile vile mambo ya mtandao wamejiunga na network (global circulation models- sina uhakika kama ndiyo jina lake sahihi) kwa hivyo matabirio yana kiwango kikubwa cha uhakika.

Ndiyo maana unapewa probability of occurrence (uwezekano wa kutokea ni asilimia ngapi?)

Mama Kijazi lete vitu hapa, atakaebisha aendelee kuisubiri hiyo mvua mabondeni.
 
Hii mamlaka ya hali ya hewa haijawahi kutabiri dhoruba na ikawa kweli hata siku moja.
Hutoa utabiri wao baada ya hali ya hewa kubadilika.
So wala msiwe na wasi wasi.
 
Back
Top Bottom