Recent content by Msesewe

  1. M

    Don't cry for me, Tanzania

    Bongo I support you 100%, that is brilliant idea, Ila nasikitika kam akuna wa kutekeleza hayo mawazo yako mazuri. Zamani all movements were been driven by students unions. Wanafunzi ndio walikuwa chachu ya kuikosoa serekali kwa mijadala mikali mikali, siku hizi wanafunzi wamekuwa makini...
  2. M

    Ephraim Mrema na Ufisadi TANROADS

    kwa kweli Tanzania tuna kazi kubwa sana hasa kwenye swala la utawala bora. kila kitu kinachofanyika tz ni politics tuu. mimi sijali analipwa shilingi ngapi, amefanya kazi world bank hata kama ingekuwa IMF au UN, swala ni kwamba kwa nini hakuwepo kwenye wale 4? Eti kuna mtu anatoa argument kuwa...
  3. M

    Dr.Slaa ajiandikisha rasmi kuwa member JF.

    Karibu sana Dr. Slaa. wewe ni kati ya watu ambao nawazimia sana kwenye kuchangia hoja bungeni. wiki hii nimepata nafasi kubwa sana kuangalia kipindi cha bunge na kila wakati ulipokuwa unasimama kuchangia au kutoa ufafanuzi fulani watu wote akiwepo mwenyekiti au spika au naibu spika wanakuwa...
  4. M

    Umbea Umemtoka Dk.slaa

    Huyo nayeeeee!!!!! Pashkuna sijui katumwa? mtu mwenyewe hata haelewi anachokisema
  5. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Wakimtoa Kimaro kwa sasa CCM isitegemee kulipata tena hilo jimbo. Hao wananchi wenyewe wa Vunjo shida zimewajaa hadi mdomoni, eti leo waseme wanamwaibisha shemeji yao, Naomba kuwauliza huyo shemeji yao aliwahi kuwasidia nini kwa miaka 10 akiwa Rais? Nataka kujua kama wakina Papaa Msofe...
  6. M

    Kutoka Dodoma!

    Nakubaliana na wewe Mkuu, Haikuwahi kuniingia akilini eti askofu ataenda kumpokea fisadi eti ni shujaa. Ipo siku waumini tutaamka na kumwambia atuombe msamaha. Mambo taratibu. Kwa sasa tumeanza kwanza na hawa mafisadi wakubwa then tutakuja kwao. Kwa sasa natafuta Data za Maaskofu wote ambao...
  7. M

    Kutoka Dodoma!

    Wanamtafuta Mchungaji awaombee. Wameshashtuka mambo ya kishirikina hayafanyi tena kazi. Mkuu waombee tuu
  8. M

    Habari za afya ya Dr. Harrison Mwakyembe

    Asante mkuu kwa ufafanuzi. Sasa naamini maneno niliyowahi kuambiwa na mtu mmoja ambaye aliwahi kuwa mbunge na kwa sasa ni mstaafu pia mwingine ambaye aliwahi kugombea ubunge kuwa "aslimia 95 -98 ya wabunge wote wanaamini ushirikina" nikamuuliza kwa nini? akasema sometimes wapambe wao...
  9. M

    Habari za afya ya Dr. Harrison Mwakyembe

    Wait a minute!!!! naomba ufafanuzi, Chenge ametajwa hapa kuwa anausika na hayo mauzauza au ametajwa hapa kwa kuwa amesona Havard? Ufafanuzi Please
  10. M

    Sakata za Richmond, EPA sasa kuhamia katika vikao vya CCM

    Hii ni Nchi ya Domokrasia kaka mpitanjia, Swala la kulongwa mbona lipo wazi? huoni Dr. Mwakyembe amelogwa tena na Mbunge?
  11. M

    Bingo ya 15,000$ ukitoa siri ya nani ana document za Balali

    Lunyungu, Nasubiria mamo Ubaoni hapa. Hapo ndipo serekali ya JK watapagawa na kuchanganyikiwa, kama ilivyo kwa ripoti ya EPA
  12. M

    Naona kijana anaanza kuchemka sasa!

    Kwani mtu akitangaza kuwa anataka urais kuna shida gani? Ina maana mtu ukiingia kwenye siasa unatakiwa uishie tuu kwenye ubunge? Sioni shida mwache kijana atangaze mapema ili tuweze kumweleza weakness zake mapema ili aweze kujibadilisha. Mbona JK alijulikana tangu mwaka 1995 kuwa kama atakuwa...
  13. M

    Spika Sitta Kung'olewa?

    Duh Mwaka huu... Kweli Mungu amesikiliza sala zetu. Muungwana asipoamka usingizini amekwisha
  14. M

    ~*~ Tunawaudhi ~*~

    Nalipa kodi kubwa kuliko mafisadi wote wa Tanzania. Ndio Nimesema. Kodi ninayolipa tena kihalali bila hata kufuatwa ni kubwa kuliko wanayolipa Mafisadi
  15. M

    Mkwasi Rostam na Vodacom

    Ni kweli Rostam kupitia kampuni yake ya Caspian anamiliki kama 20% ya hisa za Vodacom Tanzania na Planatel Communication inamiliki 15% ya hisa. Hao ndio watanzania pekee wenye hisa Vodacom. Japokuwa hizo 15 za Planatel ni kiina macho (Peter Noni) ndio mmiliki wake kuna wakubwa wengi zaidi...
Back
Top Bottom