LazyDog
JF-Expert Member
- Apr 10, 2008
- 2,473
- 202
ila inshu ya wangwe naona itakimega chama chenu ...chadema ilianza kustawi ila naona sasa sisiemu wameanza kutumia njia zile zile walizotumia kwa enisisiara-mageuzi then kwa tielopii japo kafu naona wao wamejitahidi kuweka ustawi wao vyema kwa kiasi flani japo nao wanamatatizo yao.
otherwise mimi binafsi nakupongeza kwa kuwa kazi yako ni njema katika kuwawakilisha wananchi.nadhani tukiwa na wakina slaa 10,wakina nzito 10 na wakina kilango 13 na mwakyembe 15 basi nchi itabadirika hii.
ila mzee hebu tuelezee shutuma za uchagga na ukaskazini ndani ya chadema imekaaje hiyo? nasikia wabunge wa kuteuliwa wa viti maalumu karibu asilimia kubwa ni wa kulekule...!
kama hali ni hivyo basi hii haijakaa njema hata kidogo...
Wewe ni mzoefu hapa jamvini, ukifahamu kwamba si busara kuweka issue tofauti kwenye thread kama ulivyofanya hapa, kutuchanganyia mada iliyokwisha jadiliwa kwingine. What is up with you?
.