Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,890
Nikiwa nimekaa naangalia mpira na kama kawaida mara umeme umekatika napata sms toka kwa Kalunyungu .Kaninieleza kwamba sasa Serikali ya CCM imeamua kupanda dau nalo ni 15,000$ kama utatoa taarifa ya nani ana document alizo acha Balali .
Nina aambiwa JF wana kasi ya ajabu kwa sasa kumpata mwenye nazo .Amesha kuwa located kazi sasa ni kumfanya alegee atoe na JF wazimwage jinsi zilivyo bila ya kungoja .Je na wewe unasikia haya ninayo yapata muda huu ??
Stay tune maana muda wowote waweza kuona baadhi maandishi ya Marehemu Balali hapa ubaoni .Serikali haitaki hilo na UWT hawalali wanataka document hizo .