Recent content by Msema hovyo

  1. Msema hovyo

    Gymkhana Yaripuliwa, Yachomwa Moto.

    Jamaa kwao uovu ni pombe tu, uzinzi aaah. Mmesahau kwamba hata mitume wenu mnaowaamini walikuwa wanywa pombe, lakini hawakuwa wazinzi, mbona nyie wazinzi. Sasa hivi mpo kwenye mfungo wa ramadhani, madada poa wanalalamika huko kitaa kwamba soko hakuna. Huu unaweza kuwa ushahidi kwamba soko kubwa...
  2. Msema hovyo

    Sitashangaa "VOTE OF NO CONFIDENCE" ikapigwa kabla ya 2015...

    Mkuu nchi gani hiyo unayoongelea? Kama ni Tanzania, basi hizi zitabaki tu kuwa ni day dreams. Hakuna kitu kama hicho kwa nchi na wananchi mazuzu kama watanzania.
  3. Msema hovyo

    Bundi sasa amnyemelea kikwete

    Naona jina langu linazidi kupendwa. Nimefurahi kumpata pacha wangu. lakini na wewe uwe msemaji na si kukopi kazi za watu. Back to the point. Nawashangaa watu wanaomshangaa Kikwete kwa kutokutenga bajeti kwa ajili ya kununulia meli. Hivi hizo meli, kuifanya Kigoma kuwa Dubai na mengineyo mengi...
  4. Msema hovyo

    Jaman vijana tunaisha!

    Unajua siku za huko nyuma bodaboda zilizuiwa kabisa kutumiwa kwa kubebea abiria. Na pia utaratibu wa matumizi yake ulikuwa unadhibitiwa sana katika maeneo ya mijini. Lakini wakati wa kampeni za uchaguzi, CCM walizinunua kwa wingi na kuwapa vijana wa kuwasaidia kwenye kampeni, na hata wale...
  5. Msema hovyo

    Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

    Jaribu kumpa outing, mbadilishe mazingira ya mahali mnapofanyia. Nina experience ya mchumba wangu wa zamani, yaani nilikuwa naye kwa karibu mwaka mzima sikuwahi kumfikisha, siku nilipomtoa out tu, kitu kikajibu mapema kabisa, hadi nikashangaa. Kwa hiyo yeye hakuwa comfortable na yale mazingira...
  6. Msema hovyo

    GE2010 Namkumbuka Sana Mkapa!

    Alifuta kodi ya kichwa. Wakati anaingia madarakani alikuta nchi ipo katika hali mbaya, wananchi wanalipia hadi baiskeli. Listi ya kulipia kodi ilikuwa ni lazima utembee nayo utafikiri unatembea na kitambulisho cha taifa. Mkapa is a hero, alirahisisha sana maisha ya watanzania. Tuombe Mungu...
  7. Msema hovyo

    Habari mbaya kwa 2nd year wa udsm-COET.

    Upumbavu huu ndo unaopelekea vijana wetu wengi kuikimbia sayansi. What is special in civil or mechanical engineering that is not in Education, sociology or BSc general etc? Kuna kasumba ya kipumbafu sana waliyoijenga some professors, kutafuta kuheshimiwa kutokana na idadi ya disco alizotoa. Kama...
  8. Msema hovyo

    Polisi Waweka Mgomo Baridi kutokana na Posho ambayo Ilisemwa ni 150,000 kumbe wanalipwa 100,000

    Mnadanganyana tu wakubwa. Polisi wa nchi gani hao wanaoweza kutia mgomo? Hawa polisi wa Tanzania ninaowafahamu mimi? Kama wanajeshi tu wananyanyasika lakini wanaendelea kuwa watiifu kama mbwa mbele ya anayemlisha, watakuwa polisi? Hakuna polisi mwenye ubavu wa kutia mgomo baridi au mgomo moto.
  9. Msema hovyo

    Nini tofauti ya hizi picha 2 ??

    Shenzi kabisa!! Ungekuwa karibu lazima ningekukata kibao, k.u.m.a nina zako. Nusura uniue nyoko wewe!!
  10. Msema hovyo

    Dawa ya mgao (ya kienyeji)

    atakuwa anatengeneza mvua kama wakorea
  11. Msema hovyo

    Jameni hebu sijui lakufanya ushari PLZ

    Mkuu inaonekana ulioa kabla hujakomaaa eeh? yaani matatizo ya wewe na mke wako, tena madogo kama hayo unakuja kuomba msaada hapa? Mbona wakati unatafuta hukutuomba msaada? wewe ndo unamfahamu zaidi mke wako, nenda mkamalizane naye? kwa hiyo sisi tukisema ulioa jini, nenda kafukuze utafanyeje...
  12. Msema hovyo

    msaada khs condoms..n mimba

    Mzee inaonekana ushaharibu mambo huko pole sana. Yah, ni possible kwa mwanamke kupata mimba siku ya 22 au 23 ya mzunguko wake. Si wanawake wote wana mzunguko sawasawa. Wapo wale ambao mzunguko wao unakwenda siku 21, wengine 28 na wengine 35 na kuna wengine ambao siku zao zinabadilika kila mwezi...
  13. Msema hovyo

    KATIBU MKUU WA 'CCM', taifa Nape Nnauye naomba unijibu

    Katu Nape hawezi kujitokeza kujibu hoja ngumu kama hizi
  14. Msema hovyo

    CCM yapoteza idadi kubwa ya wanachama huku waliomo humo wakikiri kuganga njaa tu

    You are right mkuu, takwimu ni kitu cha mhimu sana. Najaribu kuangalia kama Nape atakuwa tayari kuja kutetea chama chake hapa jamvini. Otherwise nitaendelea kumchokonoa source wangu ili anipe info zaidi. Hata hivyo source mwenyewe ni mwelevu kiasi chake, naamini atakuwa pia ni member wa JF...
  15. Msema hovyo

    CCM yapoteza idadi kubwa ya wanachama huku waliomo humo wakikiri kuganga njaa tu

    Jamani umeme ulinibania kiasi cha kunifanya nipotee kabisa katika jukwaa letu tukufu. Lakini Mungu bariki mgao umepungua leo nimeweza kurudi ulingoni. Kwa taarifa zisizo rasmi lakini kutoka katika vyanzo vya habari vyenye uhakika, ni kwamba Chama Cha Mapinduzi hivi sasa kinakabiliwa na wakati...
Back
Top Bottom