Jaman vijana tunaisha!

Pejokiss

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
219
97
Kwa kwel wandugu inaumiza na kutisha pia kwan hku kwetu imekuw ni kawaida ndan ya cku2 kusikia ajali kadhaa za pikipik aina ya bodaboda,kinachouwiza zaid hamna aliyepona hiv ni jion hii hii mwngine amekufa cc cjui itakuaje kwn vjana wanateketea cna,kwa ujumla imekuw bora na ukimw mtu anaweza kuish 20yrs ila bodaboda ni asubuh alikuwpo na jioni hayupo!mawazo yenu tafadhal
 
Unajua siku za huko nyuma bodaboda zilizuiwa kabisa kutumiwa kwa kubebea abiria. Na pia utaratibu wa matumizi yake ulikuwa unadhibitiwa sana katika maeneo ya mijini. Lakini wakati wa kampeni za uchaguzi, CCM walizinunua kwa wingi na kuwapa vijana wa kuwasaidia kwenye kampeni, na hata wale walioamua kuzitumia kwa biashara, hawakuwazuia kwa kuhofia kwamba watakosa kura kutoka kwa vijana hao. Na kwa kuwa waliziruhusu, hivi sasa wanaona shida kuzizuia tena. Tutaisha kusema ukweli. Katika nchi inayoongozwa na serikali chovu kama ya Kikwete huwezi kutegemea aina yoyote ya suluhu ya matatizo ya wananchi.
 
Hawa madereva wa boda wanajitakia!unakuta mtu anaenda uwanjani anazunguka raund mbili baaasi ndo kashakuwa dereva hajui sheria za barabara na mambo kama hayo af barabarani ni mbio za laana sometimes na mziki wa kichina unadhani matokeo ni nini! My take wana usalama wa barabarani wawabane ili kuounguza ajali zisizo za lazma
 
kama waendeshaji hawawaoni wenzao wakifa
unataka sisi tuwa saidiaje??
kama kusoma hujui hata picha huoni???
 
Shetani amejitokeza kwa njia ya bodaboda sasa, na anakunywa damu za watu kwa kasi ya ajabu!.
Tukae kwa tahadhari sana juu ya teknolojia hizi rahisi, shetani halali analeta kila vitu rahisi vya kurubber-stamp kazi yake ya kuangamiza watu!
Wachina hawaabudu Mungu huyu wa kweli, wana miungu yao ya ajabuajabu, lakini ndiyo ma-expert wa kuleta bidhaa hizi ambazo hazina hata dalili ya hofu ya Mungu!
Halahala...Tuangalie jambo hili kwa kutumia jicho la 3!
 
Kwa mujibu wa taarifa kutoka muhimbili ajali za pikipiki zimezidisha vifo na vifo vinavyotokana na pikipiki vinazidi vile vya ukimwi na malaria ukichanganya. Ningelikuwa na uwezo kipaumbele kingelikuwa ajali za pikipiki kwani kinaondoa vijana wadogo mno tofauti na ukimwi. Pesa nyingi zinazotumika kwa ukimwi na malaria zingeliweza kugawiwa kidogo kwa elimu ya waenda kwa pikipiki na wadau wengine wa usafiri.
 
Nchi ambayo nusu ya vijana wake ni wagonjwa wanaishi kwa matumaini huku wakibugia ARV's,Nchi ambayo madawa ya kulevya yanachukua vijana wengi,Nchi ambayo night club zimekuwa na wateja vijana kuliko waumini vijana,Nchi ambayo bodaboda zinaendeshwa na vijana wa maskini na ambazo zinawabeba masikini wenzao (si matajiri) na ndo tunashuhudia leo wanakufa kwa ajari kama sisimizi....vijana hawa watapona kweli?
 
Wakati Lowassa ni PM alizuia uingizwaji na utumiaje wa ma pikipiki. Pinda linatoa mi macho tu sura kama masaburi
 
Wakati Lowassa ni PM alizuia uingizwaji na utumiaje wa ma pikipiki. Pinda linatoa mi macho tu sura kama masaburi

Ngugu yangu unamwonea Pinda bure..huyu jamaa yupo vzr sema kila atakalolipeleka kwa ****** linapigwa chini.... hukusikia alivyosema kuhusu Jairo kwamba ingekuwa ana uwezo angemfukuza mara moja??
 
ohh lala??????
kama ndo dingi yaho af ukakuta kaambiwa hivi
ungevmilia ningekuwa mod nakutupa huko



Wakati Lowassa ni PM alizuia uingizwaji na utumiaje wa ma pikipiki. Pinda linatoa mi macho tu sura kama masaburi
 
Back
Top Bottom