Dawa ya mgao (ya kienyeji)

Rungu

JF-Expert Member
Feb 23, 2007
3,933
1,726
Kudadaadeki, kama babu wa Loliondo ameweza kutibu ukimwi hakuna linaloshindikana Bongo!

mganga-wa-jadi.jpg
 
Dawa ni kuwaroga hawa waliouleta na kuuimarisha mgao
  1. MZEE ALI HASSANI MWINYI
  2. JAKAYA KIKWETE
  3. ATHUMANI JANGUO
  4. JAMES RUGEMALIRA
  5. DR MAHATHIR MOHAMED
  6. EDWARD LOWASSA
  7. NAZIR KARAMAGI
  8. IBRAHIM MSABAHA
  9. ROSTAM AZIZ
  10. DAVID JAIRO
  11. WILLIAM NGELEJA
  12. ADAM MALIMA
  13. WILLIAM MHANDO
 
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!! Tanzania hatuamini uchawi nani atawaroga hawa, hii kali kabisa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom