Gymkhana Yaripuliwa, Yachomwa Moto. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gymkhana Yaripuliwa, Yachomwa Moto.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by X-PASTER, Aug 26, 2011.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Gymkhana Yaripuliwa, Yachomwa Moto.

  Bar Maarufu 'Gymkhana' maisara na kikwajuni. Jumatano magharibi imechomwa moto na watu wasiyojulikana. lakini inasemekana watu wanne waliyokuwa wamevalia kanzu wakiwa na mapanga na mabomu ya petrol,walivamia bar hiyo wakati wa futari. wavamia na kuanza kutupa moto, na kusababisha walevi kibao waliokuwa wanalewa na kula kwenda mbio. Bar yote imeunguwa moto. hii tukio la nne ndani ya mwezi mmoja, na serikali wiki iliyopita ilionya watu wasijiachiye kwa kula na kunywa pombe hadharani.


  source: mzalendo.net
   
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Maoni Baadhi ya Wasomaji:

   
 3. Msema hovyo

  Msema hovyo Senior Member

  #3
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jamaa kwao uovu ni pombe tu, uzinzi aaah. Mmesahau kwamba hata mitume wenu mnaowaamini walikuwa wanywa pombe, lakini hawakuwa wazinzi, mbona nyie wazinzi. Sasa hivi mpo kwenye mfungo wa ramadhani, madada poa wanalalamika huko kitaa kwamba soko hakuna. Huu unaweza kuwa ushahidi kwamba soko kubwa la hawa madada poa ni hao hao wanaoona pombe ndo dhambi kubwa.
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  cultural tolerance is key to our modern life

  anyone denying that is imbecile to me

  NImejifunza kwamba wapumbavu wengi sana wangependa hata midomo ya ndugu zao inuke kama midomo yao, hata kama ni misafi na haina dental carries

  Walaaniwe wahukumuyo, walaaniwe wanaohukumu na ni washenzi kwani kamwe hawawezi kuchukua nafasi yamola kwenye jamii\

  tafsiri ya ilmu pia imewatupa mkono kwani hakuna kati yao awezaye kusimama na kusema you are bright

  POLENI WAPUMBAVU WOTE MNAOUNGAMKONO USHENZI
   
 5. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Nimewahi kuishi zanzibar kwa muda wa miezi mitatu nikiwa nafanya project moja, nilichokiona zanzibar ni ushenzi mtupu kwani hawa jamaa wanavuta bangi hadharani na hakuna action yoyote inayochukuliwa na SMZ. Hapo hapo gymkana walikuwepo wadada waliovaa hijabu na wanagonga Tusker baridi kama kawaida. Hawa jamaa ni wazinzi mmno, wachoyo na wabaguzi mmno, yaani huku bara mambo poa sana, sasa hebu fikiria mtu amefunga na ana swaumu kisha anakwenda kufanya hujuma kwa muislam mwenzake, sasa swaumu ipo wapi hapo au ndio kushinda na njaa huko? Siungi mkono hujuma hizo, na ninawalaani wote waliohusika na vitendo hivyo

  Kuna siku moja nilikuwa nasikiliza redio moja ya zanzibar sikumbuki kama ni coconut au la. kuna jamaa alimlawiti dogo mmoja mahakama ya zanzibar iliamuru msela alipe laki saba au aende jela mwaka mmoja, can you imagine unamlawiti mtu unalipa laki saba, kazi ipo
   
 6. pisces

  pisces JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 225
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nilijua tu mwishoe kitanuka humu.... Maana watu kwa kujifanya wana akili nyingi...
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Aug 27, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Dah! Kaazi kweli kweli!!
   
 8. b

  blacktanzanite Member

  #8
  Aug 27, 2011
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  HIVI DINI NI NINI???...NA KAMA NDIVYO HIVYO KWANINI HAWA JAMAA WANA CHANGANYA NYAMA,KILEO KUWA TATIZO KWAO??OK waseme kama ilo nalo ni la MUUNGANO ili kamati ile mkwanja as usually.wamezoea kula Ruzuku toka bara ambazo zinakusanywa toka kampuni za BIA NA CLUB,GUEST HOUSES,HOTEL, nk..ukitaka haki vyanzo vyote vya mapato ni HARAM.WACHOME NA ZAKITALIII KWANI ...YA HATARI YANAFANYIKA HUMO.
   
Loading...