cdm wawasamehe cuf na vyama vingine japo walikuwa upande wa ccm wakati wa mchakato wa kupiga kura ya kumchagua spika na naibu wake.vyama vingine vilionesha tabia isiyo ya kipinzani kwa kukiunga mkono ccm lakini kwa vile katika siasa hakuna adui wa kudumu, basi inabidi cdm wafikirie ombi hilo.
if we are very good at asking for alms from them (whites), why the hell can't we be the recipients of their filthy practices?
this is the consequence of our own gluttony. the anglican church in dodoma is disintegrating because of this...we all know!
hayo ni maendeleo. pongezi dada flora umekula matunda ya uchaguzi mkuu kwa kazi inayoonekana kwa macho. wakuu yafaa tumpongeze kwa hilo tuache roho ya kwa nini!
inasikitisha kuona mashehe wananunuliwa kwa bei nafuu na kutoa kauli za uchochezi; ni wazi siri kali inahusika moja kwa moja na lawama lazima zifike huko jengo jeupe.
alipolalama eti kuna udini ni kwamba alikuwa anaandaa viongozi wa dini wa kwake ili wawezee kuwa- counter wale viongozi wa...
poti umeenda mbali. hizo ni fikra finyu za kibongo; huwezi ku generalize na kusema hivyo kwani utakuwa umeendeleza haya;
wapare wote ni baili
wahaya kwa mambo hawashikiki
wanawake wa tanga usijaribu
wagogo omba omba
wahehe wala mbwa
wahehe kwa hasira...
wakinga wana roho mbaya
wasandawe...
je halima mdee na wenzake wa cdm wako tayari kukubaliana na matokeo ya kususia ufunguzi wa bunge la 10 hapo juzi; kama wenzao wa ccm walivyotishia juzi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.