Utawala wa CCM ni Sawasawa na Utawala wa Makaburu wa Afrika Kusini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utawala wa CCM ni Sawasawa na Utawala wa Makaburu wa Afrika Kusini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Jan 24, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Lazima tuungane.

  Tunie mamoja.

  Tuupige vita.

  Kwa gharama yoyote.
   
 2. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,007
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  na ikibidi.......
   
 3. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa..hawa makaburu weusi ni lazima tuwang'oe tuu..kiama chao kimefika sasa.
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Tukiungana wananchi kwa pamoja
  %5CSlaa.jpg.jpeg
   
 5. C

  Chumvi1 Senior Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 137
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  we mtu chake hii avatar yako tu wanikumbusha mbali enzi hizo TV chache
   
 6. msandawe

  msandawe Member

  #6
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  unanitisha mkuu fafanua kidogo.
   
 7. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Mkuu, kuna wakati hiyo avator yako inakuwa serious zaidi kuliko maneno yako, yaani inakusaidia sana kutia msisitizo!!!!
   
 8. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  na iwe
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  CCM wakiona kauli kama hizi wanafurahi kweli........wanajua wanaowatawala ni watu waoga
   
Loading...