CUF tangu uchaguzi uishe kazi yao kubwa imekuwa moja tu. Kuishambulia CDM kushoto na kulia.
Hata humu JF, wapenzi wa cuf (wakiongozwa na Mwiba) badala ya kuisapoort CDM, wamekuwa ndio wapinzani wakubwa wa CDM.
Sasa najiuliza, ghafla haya mapenzi kwa CDM yametoka wapi????
Cheyo naye aliponda sana CDM walipotoka bungeni na alimponda Marando eti hafai kuwa spika, na kusema ni afadhali yule mama wa ccm.
Mrema ndio usiseme, yeye imebaki achukue kadi ya ccm tu.
Can you really believe watu hawa wana interest za upinzani in their hearts?
Lazima ipo ajenda imesukwa na ccm na hawa makanjanja ya kutaka kuihujumu CDM.