CCM kunyakua vijiji vyote nane Iramba Mashariki

Unajitahidi kukuruka ili uonekane bado upo huna kitu dada tamaa yako imekufanya hata heshima yako iliyokuwepo kwenye jamii imeshuka,utatumiwa kama toilet paper then utatupwa huko just is a matter of time let us wait.
 
Hatimaye ccm leo tumehitimisha kampeni kwa bashasha kubwa na mapokezi ya hali ya juu katika kata ya mgongo kijiji cha kisonga shelui baada yakuzunguka katika vijiji vyote nane tulivyosimamisha wagombea.
Ni wazi kwamba tunaenda kushinda kwa kishindo katika vijiji vyote nane,kama kuna chama kimesimamisha nao wagombea basi wajiandae kuvuna aibu na kama wanabisha tukutane tena hapa hapa kesho tupeane tathmini.
Hakika Naibu katibu mkuu Mwigulu Nchemba wewe ni kipenzi cha wana Iramba wanakupenda na wanakuhitaji.
VIVA CCM!

Kuna wana CCM wamejitolea sana kukijenga chama hiki kipindi hicho nyie mpo CHADEMA lkn HAWAPATI MAFAO kama unayopata wewe na Mwamamba MLIPO HAMIA CCM;hakika nyie mnakivuruga chama hiki na vijana hapa KYELA wana wasema vibaya sana!
 
Wake up people, Yani makamanda wote tunajaza thread kwa kujibizana na mwanamke yezebeli Juliana Shonza !!! Hebu tuachane na hawa wapiga domo tujikite kwenye hoja za msingi.
 
Last edited by a moderator:
Njaa ni mbaya lkn UKIIENDEKEZA inakuwa mbaya zaidi na zaidi sasa huyu bi kiroboto no.2 kafika mwisho, ana njaa iliyofunfa TURBO
 
copper tuache kujidanganya Demokrasia haiwezi kuendeshwa/kuletwa na WANAFKI na WASALITI kama akina shonza...la sivyo tutaendelea kudumaa na kurudi nyuma kiamaendeleo sana...UNAFKI NA USALITI kwenye siasa HUUA SIASA ZA TAIFA...
 
Nyie vijana mbona hizi code language zinatupa shida sisi wengine kutoka kundi la bbc: Swagger ndo nini?
 
Aliyeandika post hii ni mzushi sijawahi kuona mtu kama huyu:
HOJA:
1. Mgongo haipo IRAMBA MASHARIKI
2. MWIGULU hajafanya mkutano IRAMBA MASHARIKI, pia sio mbunge wa IRAMBA MASHARIKI.
3. IRAMBA MASHARIKI hamna uchaguzi wa viti nane.
4. CCM hainyakui viti, inanyakua kwa nani ? CHADEMA ?
USHAURI :
mtoa hoja kajipange upya, ukija utuambie na maana ya MAISHA BORA kwa kila MTANZANIA kwanza.
MASHAKA:
Mtoa hoja atkuwa amerukwa akili kulingana na hoja yake.

POLE SANA !

IRAMBA imebadilika, sio ile ya miaka 1960. Msidanganywe na watu kama hawa.
 
ccm kwisha habari yake yaani wameanza kushangilia ushindi wa vijiji.
 
Fiatilia Livingstone Lusinde kwenye yoetube uone sera alizozitoa wakati fulani, tena cha kushangaza matusi aliyatoa mble ya watoto ambao walihudhuria na kusikiliza sera zake. CCM kwisha na hawana majibu ya dhati kwa wananchi.
 
Naibu katibu mkuu ni kipenzi cha wana iramba wote na watanzania kwa ujumla maana amewaibua magaidi toka mafichoni.
R.I.P chacha wangwe
 
Nyie vijana mbona hizi code language zinatupa shida sisi wengine kutoka kundi la bbc: Swagger ndo nini?

swagger ni neno lililotoholewa kutoka kwenye kifupisho 'SWAG'..Kotoka huko amerika kama identity ya kundi la mashoga. Waliandika kwenye nguo,kofia n.k. Kirefu chake ni 'secretely we are gays',swag! Ni hatari kubwa kwa kijana kujisifia aki2mia hlo neno! Tena hasa hasa akiwa kiongozi! Kama si mshabiki wa mapenzi ya jinsia moja basi hupendelea yale ya kinyume na maumbile! Kama si hivyo basi 'si mtafiti' ,anatumia lugha asizojua maana yake ili aonekane kijana.
 
Ninapata mashaka na hiyo div one uliyopata! Kama bado unajitapa kwa 'swagger'..kaz kweli kweli!@shonza
 
swagger ni neno lililotoholewa kutoka kwenye kifupisho 'SWAG'..Kotoka huko amerika kama identity ya kundi la mashoga. Waliandika kwenye nguo,kofia n.k. Kirefu chake ni 'secretely we are gays',swag! Ni hatari kubwa kwa kijana kujisifia aki2mia hlo neno! Tena hasa hasa akiwa kiongozi! Kama si mshabiki wa mapenzi ya jinsia moja basi hupendelea yale ya kinyume na maumbile! Kama si hivyo basi 'si mtafiti' ,anatumia lugha asizojua maana yake ili aonekane kijana.

o my God! is that so? asante sana mkuu...
 
Hatimaye ccm leo tumehitimisha kampeni kwa bashasha kubwa na mapokezi ya hali ya juu katika kata ya mgongo kijiji cha kisonga shelui baada yakuzunguka katika vijiji vyote nane tulivyosimamisha wagombea.

Ni wazi kwamba tunaenda kushinda kwa kishindo katika vijiji vyote nane,kama kuna chama kimesimamisha nao wagombea basi wajiandae kuvuna aibu na kama wanabisha tukutane tena hapa hapa kesho tupeane tathmini.

Hakika Naibu katibu mkuu Mwigulu Nchemba wewe ni kipenzi cha wana Iramba wanakupenda na wanakuhitaji.

VIVA CCM!
Wewe binti ni shughuri gani halali inayokuingizia pesa ya kuendesha maisha yako ya kila siku? maana tuhubiri yale tunayotenda, tusiamasishe watu kujituma wakati wengine mnaishi kwa ujanja ujanja tu.
 
Hatimaye ccm leo tumehitimisha kampeni kwa bashasha kubwa na mapokezi ya hali ya juu katika kata ya mgongo kijiji cha kisonga shelui baada yakuzunguka katika vijiji vyote nane tulivyosimamisha wagombea.

Ni wazi kwamba tunaenda kushinda kwa kishindo katika vijiji vyote nane,kama kuna chama kimesimamisha nao wagombea basi wajiandae kuvuna aibu na kama wanabisha tukutane tena hapa hapa kesho tupeane tathmini.

Hakika Naibu katibu mkuu Mwigulu Nchemba wewe ni kipenzi cha wana Iramba wanakupenda na wanakuhitaji.

VIVA CCM!
Naamini muda si mrefu utajua ni jinsi gani CCM huwa wanashinda uchaguzi,ukweli huo ndio utakaokusuta Dhamira yako,lakini kwa kuwa njaa zinakusumbua utaendelea kubaki huko huko!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom