Recent content by msafiri27

  1. msafiri27

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Rais wetu ipo Wapi?

    PPRA walikuwa hawajazaliwa.......:wave:
  2. msafiri27

    JamiiForums Tanzania Wizi wa vijana wa IT Tigo Pesa

    Ngoja nicheck salio langu..........
  3. msafiri27

    JamiiForums Tanzania Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

    Kisimu changu cha tochi mie.......
  4. msafiri27

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    ushanipata mdada....ondoa shaka
  5. msafiri27

    JamiiForums Tanzania Nipo serious kwa 100%(natafuta mume wa maisha)

    kazi ipo.... na wahaya ndo wengi tunaolea kwenye jamii forum
  6. msafiri27

    JamiiForums Tanzania Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    watanzania wote tuna akili za kushikiwa....... tumetawaliwa kwa kila kitu! acha tuuwane tuishe wabaki wenye akili.
  7. msafiri27

    JamiiForums Tanzania Why High Court of Tanzania must issue interm order stopping the migration to DIGITAL TELEVISION

    NAJITAHIDI KUKUELEWA LAKINI NASHINDWA!!!!!:confused2:
  8. msafiri27

    JamiiForums Tanzania TCRA, Tunaomba ufafanuzi

    Elfu kumi na nane za nini? tumeambiwa local channels zitakuwa za bure.....upuuzi mtupu! najiandaa kuandamana peke yangu, wanatangaza kuwa king'amuzi kinauzwa 39,000/= ukifika pale unaambiwa ni sh. 62,000/= nimeenda kufunga kimegoma wameniambia ninunue antena yao!!!????
  9. msafiri27

    JamiiForums Tanzania Naamini mume anapatikana popote..basi nam natafuta mume ishaalah...

    Usipompata mpaka mwisho wa mwezi huu, ni pm mimi tuongee. mimi ni senior bachelor, ka elimu ka kutosha ninako, nilikuwa nime suspend suala la kuoa, lakini nina re-think msimamo wangu. karibu sana mdada.:bange:
  10. msafiri27

    JamiiForums Tanzania Filikunjombe: Sikwenda Kigoma kumsafishia yeyote njia

    Kaaaaaazi kwelkwel...yetu macho na masikio
  11. msafiri27

    JamiiForums Tanzania NSSF yaelekea kufilisika

    Aaama!....kuna udini tena huko!makubwa
  12. msafiri27

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CHADEMA ahukumiwa jela

    Nyie vipi? jana kuna mmoja ka post thread humu jf akidai kuwa CDM wameshinda kesi........ au hukumu hii ina tafsiri nyingi tofauti?
  13. msafiri27

    JamiiForums Tanzania Uamsho: Sasa Tunalivaa Swala La Kuuvunja Muungano Kiimani. Tuko Tayari Kwa Kila kitu

    UUUUUUUUUUUUWIIIIIIIIIIII!!!!! MANG'ANA GASARIKILE !!!!!!!:spy:
  14. msafiri27

    JamiiForums Tanzania Rtd General Mboma, Mhando wa TANESCO na Mh. Mbunge - ni Hatari!!

    TUMA SALAMU!!!!!!!:israel:
  15. msafiri27

    JamiiForums Tanzania Hivi daktari ana thamani kuliko binadamu wengine???

    LA KUACHA WALIPA KODI WAFE?.....HAPANA!!!!! vifaa tiba havipo tunakubali, lakini uwepo tu wa daktari maeneo yale mgonjwa angalau ana kuwa na matumaini fulani. Chonde madaktari rudisheni mioyo nyuma ili mtuhudumie wagonjwa. hii serikali tuachieni sisi tuitie discpline kwenye ballot box 2015...
Back
Top Bottom