Wizi wa vijana wa IT Tigo Pesa

S

ShockStopper

Senior Member
Joined
Apr 10, 2009
Messages
122
Likes
34
Points
45
S

ShockStopper

Senior Member
Joined Apr 10, 2009
122 34 45

Kuna habari ya kushtua nimeipata karibuni.
Inadaiwa kwamba vijana wa kitengo cha IT kinachosimamia Tigopesa wamekuwa wakiwaibia wateja wanaotumia huduma hiyo kwa kupunguza salio kidogo kidogo toka akaunti za wateja wasioweza kustukia huo mchezo mchafu.

Katika tukio moja, inadaiwa mzee mmoja aligundua hela kiasi cha sh 30,000/= haionekani kwenye account, na baada ya kazi ngumu sana ya kufuatilia, inadaiwa kijana mmoja wa kitengo hicho alikiri kwamba alijikuta hana hela ya kutumia weekend ndipo akaamua kuchota salio la mzee huyo.

Habari zaidi zinadai kuwa ma boss wa kampuni hiyo hawazingatii kigezo cha UAMINIFU katika kutoa ajira, kitu ambacho muhimu sana kwa taasisi za fedha.

Kibaya zaidi, inadaiwa kuwa mteja anapotoa malalamiko ma boss hawachukui hatua za kutosha zaidi za kumwambia 'kachukue RB'.\

Binafsi, mimi ni mtuamiaji mkubwa wa huduma hii na baada kupata taarifa hizi nilikimbilia haraka ku check statement. Lakini niligundua kuwa hiyo taarifa yao fupi ina entries chache mno na haijulikani mteja anawezaje kupata statement kamili ya kipindi anachotaka.

Natoa wito wana JF tulifanyie kazi hili ili kama kuna ukweli tujue hatua za kuchukua. Na iwapo hakuna ukweli, mamlaka zinazohusika zitutoe hofu.
 
D

dukebrain

Senior Member
Joined
Feb 19, 2013
Messages
113
Likes
0
Points
0
D

dukebrain

Senior Member
Joined Feb 19, 2013
113 0 0

Labda kama wewe ni 'mtoto wa mkulima' umeshajua kuwa wanachota vijisenti vyako, na pia sio mtandao pekee wa huduma hiyo, sasa nini unasubiri, waachie manyoya nenda kwenye huduma ambazo bado hazijadhalilishwa.
Mamlaka unazotaka zisimamie ni zipi zaidi ya policcm ambao ukienda una madai yako wameruhusiwa kupiga tu ... mambo ya uchunguzi na kutafuta ukweli siyo kazi yao tena ... usipoteze muda mtanzania au unataka kuendelea kuwa mdanganyika ... acha manyoya wahi mipesa, wayatel money au zinatelpesa ufurahie maisha lakini ukae chonjo maana vijana ndo walewale, wakiondolewa huku wapelekwa kule na maisha yaendelea ...
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
15,374
Likes
6,403
Points
280
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
15,374 6,403 280
Nchi hii wizi umekidhiri jamani kila kona
mpaka unajiuliza wapi ni salama? Ila yote
haya Viongozi wetu wa Serikali wanayalea
maana nao kuona Nchi si salama.

Pesa wanaweka Visiwani Jersey,Uswis huko
kazi inakuwa kwa sisi Makabwela yaani duu
Nadhani usalama uko sehemu hizi tu

1. Kuchimbia kwenye Migomba
2.Kisanduku Bubu
3.Pindo la Godoro/Suruali/Sketi(Kivumbi ukiwa na pesa Nyingi sasa)
 
morphine

morphine

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Messages
3,093
Likes
360
Points
180
morphine

morphine

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2012
3,093 360 180
weweeeee ngoja na mie nije bongo kuomba ajira humo nikwarue vijisentiiii :madgrin:
 
S

ShockStopper

Senior Member
Joined
Apr 10, 2009
Messages
122
Likes
34
Points
45
S

ShockStopper

Senior Member
Joined Apr 10, 2009
122 34 45
Labda kama wewe ni 'mtoto wa mkulima' umeshajua kuwa wanachota vijisenti vyako, na pia sio mtandao pekee wa huduma hiyo, sasa nini unasubiri, waachie manyoya nenda kwenye huduma ambazo bado hazijadhalilishwa.
Mamlaka unazotaka zisimamie ni zipi zaidi ya policcm ambao ukienda una madai yako wameruhusiwa kupiga tu ... mambo ya uchunguzi na kutafuta ukweli siyo kazi yao tena ... usipoteze muda mtanzania au unataka kuendelea kuwa mdanganyika ... acha manyoya wahi mipesa, wayatel money au zinatelpesa ufurahie maisha lakini ukae chonjo maana vijana ndo walewale, wakiondolewa huku wapelekwa kule na maisha yaendelea ...
Asante kwa kujua mimi ni mtoto wa mkulima, lakini kuhama peke yake mimi nadhani haisaidii.

Si unaona wewe mwenyewe umegundua kuwa vijana ndo walewale wanahama huku na kule, na haya mambo husambaa kama -----, kama yapo si ajabu na huko unakokufagilia yakafika kesho tu.

Nionavyo mimi ni bora kuyajadili hapa hadharani ili kuwafumbua macho wananchi wasije wakaumizwa kimyakimya. Pili, kuwaamsha wamiliki wa hiyo mitandao kama kweli wana nia ya dhati ya kutoa huduma iliyo bora, basi wawaalike wenye malalamiko wajitokeze, uchunguzi ufanyike na kisha matokeo yawekwe hadharani, hali kadhalika njia za kuziba mianya zibainishwe.

Lengo sio kubomoa, bali kujenga!
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,231
Likes
2,519
Points
280
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,231 2,519 280
Hiyo kali,sasa hivi wameamu ajikopesha hela za wateja ili wakale bata weekend?Hawa vijana wameamua endekeza njaa na kujijjengea umasikini..

kazi nyingi bongo zinatolewa pasipo weledi, ni faida kubwa za haya makampuni ndizo zinaficha hasara zifanywazo na hawa vijana.
 
msafiri27

msafiri27

Member
Joined
Sep 16, 2011
Messages
57
Likes
0
Points
13
msafiri27

msafiri27

Member
Joined Sep 16, 2011
57 0 13

Kuna habari ya kushtua nimeipata karibuni.
Inadaiwa kwamba vijana wa kitengo cha IT kinachosimamia Tigopesa wamekuwa wakiwaibia wateja wanaotumia huduma hiyo kwa kupunguza salio kidogo kidogo toka akaunti za wateja wasioweza kustukia huo mchezo mchafu.

Katika tukio moja, inadaiwa mzee mmoja aligundua hela kiasi cha sh 30,000/= haionekani kwenye account, na baada ya kazi ngumu sana ya kufuatilia, inadaiwa kijana mmoja wa kitengo hicho alikiri kwamba alijikuta hana hela ya kutumia weekend ndipo akaamua kuchota salio la mzee huyo.

Habari zaidi zinadai kuwa ma boss wa kampuni hiyo hawazingatii kigezo cha UAMINIFU katika kutoa ajira, kitu ambacho muhimu sana kwa taasisi za fedha.

Kibaya zaidi, inadaiwa kuwa mteja anapotoa malalamiko ma boss hawachukui hatua za kutosha zaidi za kumwambia 'kachukue RB'.\

Binafsi, mimi ni mtuamiaji mkubwa wa huduma hii na baada kupata taarifa hizi nilikimbilia haraka ku check statement. Lakini niligundua kuwa hiyo taarifa yao fupi ina entries chache mno na haijulikani mteja anawezaje kupata statement kamili ya kipindi anachotaka.

Natoa wito wana JF tulifanyie kazi hili ili kama kuna ukweli tujue hatua za kuchukua. Na iwapo hakuna ukweli, mamlaka zinazohusika zitutoe hofu.
Ngoja nicheck salio langu..........
 
Vinci

Vinci

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2009
Messages
2,654
Likes
142
Points
160
Vinci

Vinci

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2009
2,654 142 160
daah mpaka hapa kama atakuwa hajakuelewa basi tena, nimependa vile ulivyotumia kama kama mipesa, wayatel na zinatelipesa.....ha ha ha. fumbo mfumbie.....
Labda kama wewe ni 'mtoto wa mkulima' umeshajua kuwa wanachota vijisenti vyako, na pia sio mtandao pekee wa huduma hiyo, sasa nini unasubiri, waachie manyoya nenda kwenye huduma ambazo bado hazijadhalilishwa.
Mamlaka unazotaka zisimamie ni zipi zaidi ya policcm ambao ukienda una madai yako wameruhusiwa kupiga tu ... mambo ya uchunguzi na kutafuta ukweli siyo kazi yao tena ... usipoteze muda mtanzania au unataka kuendelea kuwa mdanganyika ... acha manyoya wahi mipesa, wayatel money au zinatelpesa ufurahie maisha lakini ukae chonjo maana vijana ndo walewale, wakiondolewa huku wapelekwa kule na maisha yaendelea ...
 
Forum statistics

Threads 1,274,218
Members 490,631
Posts 30,505,044