Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

Naongezea kwenye NOTE II,

ukitaka kujua ni mchina ikiwa imewaka chomoa spen (kalam) haito pop up ile window ambayo unaweza andika na kalam

Kingine S-pen fake inakuwa na kidungu kinene cheusi kule pakuandikia wakati Original ina ncha ndogo kama ya pen ncha hiyo inalangi nyeupe na ukiibonyeza inakuwa kaam ina spring ndani.
 
kama cm ina functionalities za kuniwezesha ku-browse jf,tweeter,fb,youtube nk.mengine ni to hell with it.mtizamo wangu.
 
kama cm ina functionalities za kuniwezesha ku-browse jf,tweeter,fb,youtube nk.mengine ni to hell with it.mtizamo wangu.

kama unataka hzo zpo...... kila app inaingiaaaa.. os jelly bean ila camera ndohvooopp
 
Mimi nilikamatishwa mwezi ulopita,kila nikijaribu kuacess internet inakuwa slow sana nikaenda nayo samsung shop wakaniambia ni mchina haina 3G
 
Mkwawa hizo simu ziko nyingi sana Dubai,na bei yake kama hizo s4 wanauza dirham 450 kama laki 2,ndugu yangu inataka uwe mzoefu wa simu tena sana ndio utazigundua lakini vinginevyo huwezi,nyuma zimeandikwa made in Korea,zipo s3 s4 na iPhone 5 jamaa kwa copy mara hii wmaefaulu,
Kama mtu akiwa hajawahi kutumia simu Kati ya hizo hawezi kujua kama feki,

Kuna rfk yng aliniagiza s3 tatu nashkuru maduka ya wenzetu hawakuzii kitu mpaka wakufahamishe kilivyo,ilibidi niende maduka ninayo yaamini ndio nikanunua s3 hizo,

Huwa najiuliza sana hapa jamvini kuna jamaa huuza simu kila siku tena nyingi na bei yake huwa ni chini sana kulinganisha na bei halisi,kuanzia hapo nimacha kutamani kununua kitu kwenye hili jukwaa ,siku hizi pana utapeli mwingi tofauti na hapo zamani,zamani niliweza kununua vitu halisi kupitia hili jukwaa lakini siku hizi msafara wa mamba umeingiliwa na kenge.
 
mkuu hio ni sawa 16gb zinakua kwenye simu lakini kuna apps zipo pre installed. google wanaeka apps zao kama google map, playstore, google search, hangouts na samsung nao wanaeka apps zao kama chat ons, ndo mana space inaliwa hvo
kumbe nimepona na ttzo. nashukuru kwa kunifungua bwn Chief
 
Huwa najiuliza sana hapa jamvini kuna jamaa huuza simu kila siku tena nyingi na bei yake huwa ni chini sana kulinganisha na bei halisi,kuanzia hapo nimacha kutamani kununua kitu kwenye hili jukwaa ,siku hizi pana utapeli mwingi tofauti na hapo zamani,zamani niliweza kununua vitu halisi kupitia hili jukwaa lakini siku hizi msafara wa mamba umeingiliwa na kenge.

pokea"LIKE" mkuu
 
Kuna Mtu mmoja humu jukwaani ni kweli tapeli anauza sim galaxy s iii fake na mimi mwenyewe ameshaniliza! Ukiiangalia kwa haraka huwezi itambua ukikaa nayo mda ndio picha halisi inaanza kuja taratibu.
Huyu Bwana ana mtandao atakuambia mimi nimeishiwa nenda kwa fulani atakuwa nazo!
Dogo aliyeniuzia ile baaada ya kum bana akaaniambia huu mzigo ni wa yule yule aliye ku -refer kwangu!!

Hawa jamaa lazima tuwa expose naanza na kupeleka jina kwa Mod, Mod akishindwa kuwa umbua nitawasema mmoja moja hapa!

Biashara ya kwenye mtandao sio kitu kigeni, wabongo tunataka kutumia jukwaaa hili kufanya utapeli! na kuuziana cheni bandia!!

Lets join to expose them
 
Jana nikakutana na hizo feki kariakoo, so nikaamua kuipitia kwa undani, zilikuwa s4 na note 2.
Note 2 ilikuwa rahisi kuitambua kwa kuwa ilikuwa pana zaidi kuliko ya kawaida, na stylus ya tofauti so sikuichek sana, ila hiyo s4 ndio tatizo, ukichek kwenye settings inaonyesha 2gb ram, 13gb(16gb) rom, nmetumia antutu ikaonesha 1.9ghz processor ila haikuonesha kama ni samsung exynos , ilikuwa na option ya nfc na s-beam ila hazirespond cha ajabu zaidi ilikuwa inaonesha inatumia android 4.2.2 ila the main features za hiyo version za android hazikufanya kazi, ambazo ni drop don settings tab ambayo unatumia vidole viwili, na haikua na widgets kwenye lockscreen.
Hayo yalikuwa ya kariakoo, wiki iliyopita nlisoma gichina kuna kampuni inaitwa orient wao wameweza kuweka air gestures kwenye clone zao za s4 karibuni tu wataweka na hizo feature nyinine, na ya mwisho tusiiamini sana antutu kuverify simu, wiki kadhaa zimepita ilitolewa report (source nimesahau) kuwa kuna makapuni wanatengeneza bugs ndani ya simu zao ili zimodify matokeo ya antutu.
 
Me ni mpenzi wa nokia, vp kuhusu Lumia 920? isije nimeingizwa chaka
 
Mi nafikiri dawa ni kununua kwenye branded outlets,kwa mfano hizo samsung unaenda kwenye duka la Samsung ,ambalo umehakiki kweli kuwa wao ni dealer wa hiyo kampuni na unapewa na warrant,kuna maduka kama pale Mlimani City ,pia kuna maduka ya makampuni ya simu hapo unapata kitu halisi,tatizo ttwapenda mtelemuko ,mambo ya simu kama ni kununua kwa mtu yataka uwe unamfahamu fika muuzaji,sio hawa wauzaji wa kukutana nao JF,hapo zamani ilikuwa kweli hapa JF unauziwa vitu halisi ,lakini sasa kwa tamaa za wengi ambao ni wakuja wameliharibu hili jukwaa,utakuta jamaa kajiunga na jukwaa jana leo anaanza kuuza visimu mchina vyake fake.Kitu eti cha laki 7 anauza laki 2 na ni kipya ,hayo ni maajabu ya mbuzi kupiga mswaki.Buure aghali wajameni.Pia utapeli hauangalii rangi,kuna mhindi/mwarabu utamkuta anaranda kwenye Supermarkets pale Mlimani City na kujifanya anauza simu original,naye muogopeni hizo simu ni magumashi
 
mkuu ninachoongea hapa ni kua mtu ametoa buku kanunua kiroba kumbe ndani ya kiroba cha konyagi wajanja wamejaza gongo ambayo angeipata kwa sh 200

Ha ha ha ha haaaaa! Nimeupenda huu mfano.
 
Nashukuru sana wachina kuleta s4 feki angalau nasi 'wachambawima' tunaonekana....! Noma ni kuuziwa bei kubwa lakini mpaka sasa sijaiona tofauti kati ya mchina na mkorea
 
Umeona wapi Galaxy S4 ikauzwa chini ya milioni 1? Nilishangaa sana nilipoona hizi galaxies zikiuzwa cheap sana mwanzo nilifikiri wanaiba ila sasa nimekuja kugundua kumbe ni za kichina ila mchina huu ni balaa kwa macho ya kawaida huwezi kugundua hadi ufikirishe kichwa sana.

hio picha hapo juu ni ya galaxy s4 fake ya kichina
hebu tuangalie specificatio za galaxy s4 ya kichina na original.

specification za galaxy s4 origial
Processor: Quadcore snapdragon 600 1.9 ghz
RAM: 2gb
Kioo: inch 5
OS version: Android jelly bean 4.22
na benchmark za antutu zipo hivi

Samsung-Galaxy-S4-AnTuTu-3.3.jpg


Specification za galaxy s4 ya kichina
Processor: mediatek 1ghz quadcore
RAM: 1gb
Kioo: 5inch
OS version: Android jellybean 4.22

Kwa macho ya kawaida huwezi tofautisha perfomance even nilirun antutu kwenye galaxy s4 ya kichina ilifika 22,000

So nawatahadharisha wabongo kuwa makini na simu za bei rahisi na kujiona wamepata simu kali kwa bei rahisi.vitu vifuatavyo ufanye kuitambua simu hizi za kichina.

1. Camera Quality: Hata ikija na camera 13mp simu ya kichina itatoa picha vibaya hakikisha unapiga picha mbili tatu kujua quality
2. Download application yoyote ya benchmark, antutu ni nzuri pima score za simu yako kwenye proccessor, gpu na jinsi inavyo-render graphic kujua kama itascore kama galaxy original. score original zipo kibao online.
3. Charger yake usb na earphone hazina quality ya flagship

Je, zinafaa kununa hizo za kichina?
Sio mbaya kununua hizi clone za kichina lakini hazi-deserve kuuzwa hela nyingi. Simu kama hii yenye quadcore 1ghz ina-deserve around 300,000 hadi 400,000!

So, muwe makini wana JMF!

Kisimu changu cha tochi mie.......
 
response to the market trend thats what mchina does.
He is aware of his market and able to satisfy it anyway he can.
Blame to the users and not the manufacturer
 
Back
Top Bottom