Recent content by mriri

  1. mriri

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    Bado yupo aisee
  2. mriri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba wimbo

    Ngoni Tribe, hata mimi nautafuta sana aisee!
  3. mriri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mistari kwenye hip hop ya Bongo ilitia fora

    Machizi wanajua me kamanda wasua, Ukinipa boya namfua, hata kama ana kifua, Hapa nilipo na mafua ukinipa kipaza nakamua. Lord Eyez-N2N Ndo zetu!
  4. mriri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mistari kwenye hip hop ya Bongo ilitia fora

    Ukinicheka shambani, Mi Nitakucheka sokoni, Chuma hufua chuma, ni mwendo wa roho mkononi, Maisha ni mpangilio ukitulia yanajiseti, ni kama atoz kwenye mfumo alphabeti- Prof Jay, Ni hayo tuu!
  5. mriri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    A million and one questions by Jay Z, nimeutafuta sana bila mafanikio!
  6. mriri

    JamiiForums Tanzania Ni nani atakayemwambia ukweli Ali Kiba?

    Well said!
  7. mriri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mtandao wa kusoma online kwa video

    Mkuu hio edx, nasomea entrepreneurship but kufanya malipo ili nipate certificate nashindwa. Naomba msaada
  8. mriri

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Hawa kuku wana kipi cha ziada cha tofauti na kuku wengine? Kwa minajili ya Nyama, mayai nk??
  9. mriri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Program ya kutengeneza beat kwenye computer

    Zipo software nyingi za kutengeza beats. Search kwenye torrent then u download kawaida.
  10. mriri

    JamiiForums Tanzania Maaskofu, wananchi ‘wamchanachana’ Slaa

    Kama Dr Slaa alivyosimama na kutaja list of shame pamoja na kashfa nyingine, asimame hadharani kuwataja maaskofu waliohongwa na kiasi walichohongwa. AU atoke hadharani na kuwaomba radhi watanzania wote specifically waumini wa madhebu ya RC na Lutheran kwa kuwachafua viongozi wao na kuwaingiza...
  11. mriri

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Suluhisho lipo hapa fadhilipaulo.com
  12. mriri

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? - Special Thread

    Je wajua waamini wa rastafari hutumia bangi kama sakramenti takatifu?
  13. mriri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wa mtu na mke wa mtu kufungua kampuni bila ya kuwajulisha wenzi wao

    Alafu hapo ukute ni msabato kutoka kaskazini mwa Tanzania kule milimani lazima patachimbika walivyo wabishi!
  14. mriri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soko la kaymu

    Hi kampuni ni ya kiduwanzi saana sijawahi kuona!! Mimi nimenunu mzigo tokea 17 July .15 mpaka leo sijaupata!! Huduma kwa wateja bure kabisa ukitoa taarifa kwa moja wengine hawana!! Hakuna coordination kabisa!! Sitakaa nirudie tena kununua bidhaa kutoka kwao.
  15. mriri

    JamiiForums Tanzania Habari ya Clouds TV mmenunuliwa na CCM?

    Wa declare tuu kuwa wao kama media house kwenye huu uchaguzi wana support ccm 100% watu wajue hivyo!
Back
Top Bottom