Patriote
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 1,718
- 1,047
Mimi naona Dr. Slaa amewaharibia zaid Ccm na kuwapaisha Chadema Mara 100. Aidha Dr. Slaa amedhihirisha ana simple mind. Tunaamimi simple minds discuss people na great minds discuss issues.
Vile vile ishu hii inaonyesha ni jinsi gani serikal ya chama tawala inavyotumia mbinu chafu za kunnua watu (viongoz Wa upinzan) ili kiendelee kubaki madarakan kwa dhurma ili waendeleze dhurma kwa watanzania.
Nasikitika zaidi kwa haya kufanywa NA MTU aliyepigana kufa NA kupona kuhakikisha Ccm NA serikal yake inayowanyonya watanzania inakaa pembeni. Kinachodhihirisha kuwa Dr. Slaa kanunuliwa ni namna ya mkutano wake ulivyoratibiwa, unavyorushwa na tbccm na namna alivyokuwa anawasilisha hoja zake.
Swali tunaojiuliza je! Baada ya kusema yoooote aliyoyasema je ndio tuichague Ccm iliyobaki NA mafisadi wengi zaidi ktk list ile ya Dr. Slaa???? List of shame Ilikuwa na majina zaid ya 10. Lowassa ni mmoja kahamia CDM. Wengine woooote wamebaki Ccm sa kwa kuikataa Chadema kwa kuwa Ina mmoja tu Kati ya 11 na kuikubal Ccm ilobak NA watu 10 waliokuwa kwenye ile list itakuwa ni akili au matope??? Is it really logical?
Dr. Slaa ni mbinafsi na atahukumiwa kwa hili. Yeye km Padre mstaafu sikuona haja ya kuendelea kubwabwaja kuhusu maamuz ya lowassa kuingia CDM mana biblia imeweka wazi namna ya MTU anavyoweza kujutia makosa yake na kuamua kuungama na kuanza maisha mapya. Cha ajabu kwa lowassa kufanya hivyo ni nn?Naona Dr. Amesahau kabisa kuwa hata yeye CDM ni muhamiaji toka Ccm. Kama anaamin CDM ni tassisi iliyojengwa ktk misingi ya kupiga tushwa ufisadi kwann basi asiamin kuwa itamshape Lowassa kufwata misingi hiyo? Je ni halali kwa padre au askofu kuacha upadre au uaskofu kwakuwa mwenye dhambi kaamua kutubu na kuokoka??????
Lakin pia nilitegemea aelezee pia ufisadi Wa magufuli na team nzima ya Ccm ili kustrike a balance ili wananchi tuamue vzr. Cha ajabu Dr. Slaa ameamua kwa maksudi mazima kuwa bias/kuegemea upande mmoja. Swali tunalojiuliza watanzania je kafanya haya kwa maslahi ya Nani? Ni kwel uchungu Wa nchi hii/uzalendo ndio uliomsukuma? Kama angalikiwa mzalendo angeongelea mambo machafu yanayofanywa NA serikal ya Ccm km ufisadi wa escrow, mikataba ya/sheria za fastafasta ya madini na gesi, Deni LA taifa, fine za wakandarasi 900bil kwa kuchelewesha malipo yao n.k.
Richmond anayong'ang'ana nayo haizid 300bil. Deni LA kizembe kwa kutokuwalipa wakandarasi kwa wakati ni zaid ya hiyo ya richmond mbona haya hayasemi? Dr. Katumwa, ila awaambie waliomtuma wameshindwa mana aliyoyaongea tulishayakikia 8years ago ila hayajatufanya tutoke kwenye mada kuu ambayo ni kufanya mabadiliko.
MABADILIKOOOOOOOO??????????......Lowassa.
LOWASSAAAAAAA????????????.......Mabadiliko.