Dear madam mchomvu na bibi Twelvu poleni sana na uchovu wa ubishoo/Kibonde anatukana watu ovyo redioni,
Hatari iliyo mbeleni wala haoni,
Au anavyosambaza Ngoma mitaani,
anadhani hatumuoni,....Sugu - I wanna Kill
Fid q -.ComMe ninaweza fanya hadi madawa yakaugua -jasusi fid q
2.kama biashara ya madini,migodi yote naimiliki mimi by mwanafa
3.don kama corleone,maadui wangu hawaponi by fa
huu uzi unabidi uwe sticky!
Pisha njia nimuingilie mchomvu/Dear madam mchomvu,na bibi twelve,poleni sana kwa uchovu wa ubishoo.lengo na madhumuni kuwapaka choo mwambieni shosti wenu ncha kali hajui kuflow
mnataka kuolewa mbona mnajipodoa? Dany msimamo vinega.
"Usoni sina genya ila moyoni sio Mwema"Tokea nimeanza msuba sijawahi kuwa soba, sijawahi kushikwa na homa wala sijawahi kuacha kuchoma, niko fiti mpaka noma...... Lodii
"Shitka Jamani acha mashuka kitandaniwanao Skiliza hawaskiii wanaoskia Hawaskilizi,, machizi si miujiza tunasonga namna Hii!!
Tunasonga Kwa Mwendo wa Farasi Au Kinyonga!!
Sabuni ya jana ila povu la leo/SONGA ni msanii wa juzi lakini nimetokea kumkubali sana dogolas,,anakwambia- "peleka ubaguzi wa rangi kwenye ufuaji wa nguo"..... au mstari mwingine "sigara ni hatari kwa afya yako kwa maelezo zaidi endelea kuivuta"
Umetisha Mkuu...nilianza la kwanza,nilianza kusema hadithi sisemi tena,rap sirap tena,maovu yamejaa hakuna mema,naitwa zomba nataka kupiga dumba duniani ka motoni naota ndoto za peponi,namwona shetani,ananiuliza we nani,na unataka nini pesa na majumba ya kifahari,njoo nifuate mimi,ila kuwa makini,yooh naenda kwa kasi ila naona giza,wee naona giza,nasonga mbele litakalo liwa na liwe,nipo mwenyewe katikati mbele mbali nyuma mbali,nakutana na mambo mengi ili mradi hatari,unnyama night kali wakati hatuna kitu.......KWANZA UNIT
Dhahabu na Almasi enzi za mashimo ya mfalme Suleiman yote yamebaki hadithiUfikapo Roma, Fanya kama wafanyavyo Warumi.
Himaya hii ni ya Kwanzania, Wote Karibuni,
Mgeni siku ya Kwanza, ya pili mpe Jembe akalime,
Haya Shime, Haya Shime,
Vita hivi si vya Rungu, Mkuki wa Sime,
Nakana Shitaka la Utoro,
Safari ndio kwanza imeanza, Wazee wa Baraza, Mahakimu,
Majaji na Wanajim,
Wanafalsafa, Wakufunzi wa Elimu ya Saikolojia,
Watawa ndani ya Parokia,
Maandiko Makuu, Quraan, Taurati na Biblia,
Dira upeo wa akili hauna siri utajiriChorus
Mimi msafiri bado niko njian
Sijui lini nitaafiika naulizia watu
Huko ninakokwenda Sijui lini nitaaafika
Chief Rhamson (Zavara) katika ubora wake wa hali ya Juu kabisa. Hii ilikua remix ya "Msafiri" ya King Kikii ya miaka hiyo.Dira upeo wa akili hauna siri utajiri
Kabla tafsiri Tasbihi Tafakari Tafadhali.
Ndio ndio ni ngumu sana kulifahamu hili pini kali.Chief Rhamson (Zavara) katika ubora wake wa hali ya Juu kabisa. Hii ilikua remix ya "Msafiri" ya King Kikii ya miaka hiyo.
Kizazi cha kina Diamond, Ray Van na sijui Bright ni ngumu sana kuijua hii Pin.
Embu basi tupia humu na Mistari ya "Utaona" ya Baggz Malone, nae alikua member wa KU Crew piaNdio ndio ni ngumu sana kulifahamu hili pini kali.
Mimi Pia nipo kwa kizazi cha kina rayvann,lakini nyimbo zangu kijana mwenzangu atashangaa kwa sababu atakutana na Majitu,Msondo ngoma-Weka Mambo hadharani,Tx Moshi,Mbaraka mwinshehe, Mwanameka-Marijani rajabu na sugu,John Mjema,Duznundaz,East coast.
Msafiri hili pini ni moto wa kuotea mbali.
Sugu Mr II-Hold on
"Wasio kujua watijifanya wanakujua, na ndio wakwanza kusema mambo wasiyo yajua",
"Lazima uwe mjanja na mjanja hali madude zaidi ganja"