Mistari kwenye hip hop ya Bongo ilitia fora

Miguu wazi nimekubali kifua wazi nimekubali sasa unataka niotee rangi ya g- string Una hatari...,mwana FA
 
Ningekuwa raic kwanza kabsa ningefanya revolution,
Kila kijiji ningeweka police station-Kalajeremiah
 
Nusu saa ya mshale nusu suruale nusu kwenye glass ......napenda kipande hiki cha chorus ya joh makini
 
dEMU AKISEMA ANANICHUKIA,NAMAANISHA ANANIZIMIA,KICHECHE AKINIKMBIA MWACHE ATARUDI ANALIA
2. TUSIGOMBANIE VICHECHE HUO NI URITHI WA KWETU,YOTE YAWEZEKANA,PEKU PEKU AU KWA VIATU
3. KAMA ULIDATA UKAMUONESHA UTUPU MKWEO,UTAMUANGALIA VIPI LEO?
ZOTE FA!
Ila FA kwa kuwaponda mademu ni noumaa
 
..Wanatutega akili wapate kumega deal/ juu ya bega la mswahili ni shega kuwasitiri/au tufanye ukafiri niwakanye kwa siri/niwalishe madini ili wanye Utajiri.. Hashim DOGO - Tunasonga
 
....Hv vitu viko wazi kama vazi la kahaba/nasambaza maradhi hlf nakupa siku saba/machozi ni haba/ uokozi ni njozi baba/...

Kunyonya Damu kwa hamu/Dogo Mwanaharamu/Kalamu inamwaga damu/nakuacha mweupe km mkorogo/chata km wagogo..
Shadow Of the Darkness - Hashim Dogo
 
Machozi yanatoka ishara homa ya dunia/
Binadam wanyama ndege wote mbona mnalia/
Parapanda litalia/
Mito milima mabonde vyote vitaangamia/
Madaktari waganga ujuzi washautumia/
Wamemzunguka mgonjwa homa ya dunia/
Waumini wamemsalia/
Na bado mikononi akawafia.
Homa ya dunia by sollo thang
 
..Wanatutega akili wapate kumega deal/ juu ya bega la mswahili ni shega kuwasitiri/au tufanye ukafiri niwakanye kwa siri/niwalishe madini ili wanye Utajiri.. Hashim DOGO - Tunasonga
Mawazo yangu yanabusu sakafu za mahabusu...Hashim dogo
 
ewe waridi,wewe ni joto kunako baridi,wanipa michezo mitamu kwa mwendo wa kigsidi,sometime tuligombana pale wivu uliponizidi
 
na unapokua na kitu bongo ni kama new york,kila siku ni sikukuu utakula kuku na chochote unachopenda,mpaka denda,kila dem atajidai anakupenda,atakuita handsome,utapotaka sex utapigwa fix mpaka uone bongo nux
 
enzi zile nipo shule niliona kama kituo cha polisi nilicholala njaa,sasa niko kiwanja nataftaa,moneymoney peesaa nspokosa nakosa hata raha nabaki na karaha napolala..
 
Prof Jay,

Ninaghadhabu kifisadi fisadi/
Usicheze na Radi/

MC wa kweli niite J wa Mineli/
Ni nani katiyetu aliwahi kusahau kuendesha baiskeli/
Nadhani hakuna/
kufa kiume sio unanuna/

Maisha ni kama vitani kichwa chini mikono nyuma.

Biashara bila mshiko ni heri mnitoe kafara/

Maporomota uchwara tumeleweana mi'sio fala/

Sifanyi kazi ya bure hata mkiniteka nyara/


Maisha ya bongo 50/50 nusu kap* nusu kuzimu.



Hard bluster-Nusu pepo Nusu kuzimu.
 
Nakumbuka Niko advance nikaandikaga pembeni verse ya afande Sele kwenye nyimbo ya elimu dunia nikaweka kwenye kaunta book.
Manzi wangu alipoionaga ile karatasi kwenye makabrasha yake alinirudishia Kwa heshima zote ananambia eti ile sala yako uliyoiandika hii APA nimeikuta kwangu.
Heshima kwako mfalme Wa rhymes
 
Ukinicheka shambani, Mi Nitakucheka sokoni,
Chuma hufua chuma, ni mwendo wa roho mkononi,
Maisha ni mpangilio ukitulia yanajiseti, ni kama atoz kwenye mfumo alphabeti- Prof Jay, Ni hayo tuu!
Natumia akili ustaraabu na subira/
Stumii mwili jaziba na hasira/
Mapinduzi daima msimamo ka'Cheguevera/

Usingizi ndugu yake kifo usipende kulala/
Nafauta mipango yangu sifuati mipango ya wengine/
Nipo focus hata ikibidi vingine nijinyime/

Wote tukiwa maskini nani atamsaidia mwenzake/
Niacheni ni win majungu msinipake/


Langa!!!

Ni Hayo tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom