Mkuu unaweza sema ni average thinking ila nilishomaanisha mara moja haiwezi kutumika ku judge kitu mkubwa...
Nimefanya manunuzi ya Ebay kwa mara ya kwanza nkalizwa 50$ ila sikufa moyo na wala sikutumia hiyo kama standard ya ku judge eBay kuwa ni insecure place...
Nilipojaribu mara ya pili kitu ilitumia zaidi ya 40days haijanifikia nkafungua case Paypal baada ya kujua kuna cases nkatumiwa mzigo upya baada ya siku ule mzigo wa awali ambao nilifungulia case ukafika na ule niliolipiziwa nao ukanifikia after 2weeks....
Since then sijawai kupata shida yoyote na eBay
Should I use my 50$ experience to say kwamba eBay is insecure market place?
Kama haujaona hiyo point yangu then wewe ndo unatumia average thinking