Recent content by Mrembomimi

  1. Mrembomimi

    Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?

    Yani kuna vitu vingine haviitaji akili kuwaza mtu anakutusi kila mstari wa nyimbo zake,kwa interview ukiulizwa ukiona kiba unaona nini unajibu VITA! Leo hii umefungua kiplatform chako cha kuuza mziki unataka kutubuni watu ili waingie mkenge upige pesa kupitia yeye! Diamond mdomo umkuponza Kiba...
  2. Mrembomimi

    Wanawake mlioko kwenye ndoa: Mjifunze kuwaomba unyumba waume zenu

    [emoji23][emoji23][emoji134]mie siombi Ila kuna mitupio nikitupia plus kiperfume changu cha usiku tu anajua Leo mama anataka league ichezwe basi full kujiachia [emoji39][emoji39]
  3. Mrembomimi

    Aje Remix Official Video

    Mie sijaelewa umuhimu wa hii aje remix ! Coz video ya kwanza MI hayupo hii nayo Yale Yale sasa swali la mwisho remix mabadiliko yapo wapo Ni video Au beats nini dhumuni ya remix
  4. Mrembomimi

    Kiwanja kinauzwa kipo Kinyerezi maeneo ya songas

    Nicheki kwa hiyo namba tuelewani
  5. Mrembomimi

    Kiwanja kinauzwa kipo Kinyerezi maeneo ya songas

    Kiwanja kinauzwa kipo Kinyerezi mwisho karibu na Songas Gharama. 15M ina maelewano mazuri ya punguzo la bei Au kulipa kwa awamu. Size ni miguu 10 kwa 30 Tayari kilianzishiwa ujenzi wa nyumba ya vyumba 8 kighorofa! (Juu kuna vyumba 5 na chini 8) Kwa anaehitaji tutafutane 0713-240806
  6. Mrembomimi

    Nimeumwa na nyuki jichoni

    Hell no kitunguu saumu kinaunguza ngozi ya uso mie nina Kovu la kitunguu saumu week ya 6 hii nilipaka usoni
  7. Mrembomimi

    Series (Special thread)

    Unakosa mengi sana mana mpaka sasa hakuna series ya kuikimbiza homeland labda prison break ije
  8. Mrembomimi

    Series (Special thread)

  9. Mrembomimi

    Mbowe atembelea shamba lake alilopigwa marufuku asilime

    Ndio mjiulize kwanini hakuna mvua tangu mwaka Jana pili hao wazungu wenyew wanapinga kilimo cha green house ndio chanzo moja wapo ya global warming ina mana mboe hajui hayo na Tz ipo kwenye kampeni ya kupigana na tatizo la global warming ! Hapo kilimo chake kipo karibu sana na maji anatakiwa...
  10. Mrembomimi

    Wanawake wasiokuwa na magari ni wachafu

    Kama unakerwa si uwanunulie magari
  11. Mrembomimi

    Naomba mnipangie matumizi ya pesa kwa mwezi

    Chagua maeneo yenye nyumba ya bei ya chini
Back
Top Bottom