Dionize N
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,848
- 3,298
- Thread starter
- #41
Haijavuja mkuu kaachia officiallyMsimtengee Kueni Wavumilivu.....Sidhani kama Hili ni Tatizo la Management what i see ni kuwa kiba Sio mbunifu at all! Ni majivuno na kujiona anajua ndio sababu ya kutotaka kuupokea ushauri wowote unaoenda kwake? Mashabiki wa kweli wa Ali Kiba toka Lini wametoka wakimshauri kubadilika juu y video anazo zifanya Lakini kila siku amekuwa akidrop?
Hapa thamani ya Bifu lake na Diamond ndo linaonekana Sitashngaa kuona hii video Ina views Wengi sana Youtube.....Coz watu watataka kuangalia uupuzi alio Fanya na watacompare na Diamond japo now Diamond anatafuta views 3M kwenye Vevo ila hii Aje Remix itakuja kwa kasi kutokana na Watu kutaka kujua nn kipo ndani ya Lakini sio kwa sababu ya Video ni nzuri
Ali Kiba Hadi Video inavuja???