Video: Trump aogopa swali, amlazimisha mwandishi kukaa,agomewa!

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850

Watu wa Usalama wa tanzania lipo jambo la kujifunza hapa.Jamaa kamgomea Rais Trump kukaa na kagoma kutoka nje.Lakini hajapigwa wala kuzalilishwa.
Unadhani ingekuwa ni Tanzania nini kingempata huyu mwandishi?
 
Video ya zamani mno hiyo.

Zamani sana kabla hata hajawa rais.
 
Ingekuwa Tz saa hizi kesha kula virungu na mahakamani Kisutu kesha fikishwa na dhamana kanyimwa
 
Watu wa Usalama wa tanzania lipo jambo la kujifunza hapa.Jamaa kamgomea Rais Trump kukaa na kagoma kutoka nje.Lakini hajapigwa wala kuzalilishwa.
Unadhani ingekuwa ni Tanzania nini kingempata huyu mwandishi?

Watu wa Usalama wa tanzania lipo jambo la kujifunza hapa.Jamaa kamgomea Rais Trump kukaa na kagoma kutoka nje.Lakini hajapigwa wala kuzalilishwa.
Unadhani ingekuwa ni Tanzania nini kingempata huyu mwandishi?

Kwani hapa sasa kuna ruhusa ya kuuliza swali? Pengine angeitwa mhaini. Hapa ni kuunga mkono tu!. Hakuna kuuliza maswali, hakuna kutoa maoni, wala kutaka ufafanuzi. Hapa kasi tu.
 
Bongo huyo mwandishi angekamatwa na kuitwa mchochezi na kisha maraika kutumwa kwenye chombo cha habari anachofanyia kazi.
Whether or not you're a citizen it doesn't matter go away. Is this type of democracy short sighted guys tout about and on behalf of the nation of snakes, Amaruca? Shame on you.
 
Watu wa Usalama wa tanzania lipo jambo la kujifunza hapa.Jamaa kamgomea Rais Trump kukaa na kagoma kutoka nje.Lakini hajapigwa wala kuzalilishwa.
Unadhani ingekuwa ni Tanzania nini kingempata huyu mwandishi?

UNAONA ALICHOKIFANYA NI SAHIHI??? SIYO KILA KITU CHA KIJINGA CHA MAREKANI ULETA NYUMBANI TANZANIA
 
Huyo mwandishi wa habari ni Jorge Ramos. Ni mwandishi wa Univision.

Hii hapa video ambayo ilipandishwa YouTube na Univision. Angalia publication date [August 25 2015]. Pia angalia lectern....ina seal ya POTUS au haina? Hata maoni ya baadhi ya watu chini ya video ni ya zaidi ya mwaka mzima.

AIBU KUBWA SANA KWA MTOA MADA. ..SHAME ON YOU. ...
 
Watu wa Usalama wa tanzania lipo jambo la kujifunza hapa.Jamaa kamgomea Rais Trump kukaa na kagoma kutoka nje.Lakini hajapigwa wala kuzalilishwa.
Unadhani ingekuwa ni Tanzania nini kingempata huyu mwandishi?

Angekuwa amekufa
 
Back
Top Bottom