Nimeumwa na nyuki jichoni

Nimeumwa na nyuki jichoni

Pole sana, wa2 wengi wanashindwa interrview kabla hata hawajaenda kwenye usaili wenyewe! wewe najua umeathirika kisaikilojia, nakuambia tena usikea vizuri, hakuna tatizo kbs, wee nenda hivyo hivyo kwani wanaointerviy si ni wa2 kama wewe wana hisia kama wewe kwa hiyo usikubali kushindwa kirahisi! nenda kashinde kazi!

Mm niliwahi kungatwa na Nyuki kwenye jicho siku namkaribisha mchumba wangu nyumbani kwa utambulisho, kwa kweli ilikuwa ni fedheha sana! lkn mambo yaliisha na sasa ni mke!

Dont be afraid gogo! go go go and do it!
 
Du kata sega na chukua nyuki kadhaa kama ushahidi maana hatokwamini yakhe watajua wewe ni mgomvi umetoka kupigana,,, si unajua pia receptions nyingi huwa zina masista du,,,, wakikucheka wewe uchunue tu


msaada wataalam..nimeumwa na nyuki mchana huu jicho limevimba sana naomben msaada kwa anayejua dawa ipi ya asili au ya dukan itakayonisaidia kupunguza uvimbe maana kesho nnasafari kwenda kwenye interview...msaada wenu wakuu
 
Pole sana Mkuu lakini ujitahidi sana uwahi Hosp
 
Hio ni baraka na ninakwambia kuwa kwa JINA la YESU umeshapata kazi,

kuna watu watakuja kuomba picha, just ignore them hio ndio JF
Nilikuwa na issue ya kupeleka sample hitelini kwa ajili ya biashara. Nimeumwa na nyuki, hao jamaa nikiwapigia hawapokei
 
Hell no kitunguu saumu kinaunguza ngozi ya uso mie nina Kovu la kitunguu saumu week ya 6 hii nilipaka usoni
 
Back
Top Bottom