Kiwanja kinauzwa kipo Kinyerezi maeneo ya songas

Mrembomimi

Member
Sep 2, 2016
47
35
Kiwanja kinauzwa kipo Kinyerezi mwisho karibu na
e2c588c25e0bdd3cd51d80e53705cac8.jpg
Songas

Gharama. 15M ina maelewano mazuri ya punguzo la bei Au kulipa kwa awamu.

Size ni miguu 10 kwa 30

Tayari kilianzishiwa ujenzi wa nyumba ya vyumba 8 kighorofa! (Juu kuna vyumba 5 na chini 8)

Kwa anaehitaji tutafutane 0713-240806
 
10 haiendi mkuu?!!!
 
Hivi ni kweli mtu uko dar bado unatuqndikia miguu mingapi sijui kwa nini usijalibu kua accurate? Ni kweli ulishindwa kuchukua tape ukapima ukatuletea vipimo halisi?
 
Sio lile eneo linalojaaga Maji? Mimi nipo shuleni kibaga kabla ya songasi nielekeze nipaone kwanza hiyo pesa naona hailingani na eneo ulilotaja
 
Ni kibaga A huko.... 10x30 ukiweka kwenye mita huchelewi kupata 8m x 27m yani kiwanja kama barabara kuu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom