Recent content by Mrefu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna anayechukia tajiri, tunachukia utajiri wa wizi - Lowassa tuelewe

    Ng'ombe wanaongezeka sana tu kila mwaka, ila kila mwaka anavuna na kuwauza baadhi na kabakia na idadi ambayo eneo alilonalo linaweza kuwamudu!!! Uliwahi kufikiria hilo ndugu gumegume??
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa CV hii kuna pointi kweli huko Arumeru

    jamani msimsahau yule chokoraa jizi la magari pale Arusha mjini, sijui na yeye ana elimu gani? hatokuwa mbali na sugu na VN.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa CHADEMA juu ya Lema kujiingiza gerezani

    CDM ni chama makini na kina wabunge wengi wazuri sana, ila kwa jimbo la Arusha, tukubali kwamba tumechemsha sana kumsimamisha mkora au chokoraa Lema kuwa mbunge wa Arusha. Huyu bwana amekuwa kituko na amelifedhesha sana jiji la Arusha tangia kuchaguliwa kwake kama mbunge...kauli zake ni za...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa watu wote walioko kwenye ndoa au waliooana wanapendana?

    Food for thought "NO ONE falls in love by choice, it is by CHANCE. No one stays in love by chance, it is by WORK. And no one falls out of love by chance, it is by CHOICE." ...author unknown
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wale wa Kibaha Sec School tujikumbushe

    Mkuu Ndamwe, umenikumbusha mbali sana na mzee wetu KAKUNI!! mimi nimepitia Kibaha '81 to '83 A level. tulikuwa na marehemu Kazibure, mama schade (RIP) huyu mama alikuwa mjerumani na alikuwa 'anatoka' na wanafunzi, Lwebandiza na gitaa lake... kweli shule ilikuwa murua sana! mzee KAKANI alikuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa Kuanzisha ABC Television Arusha

    Elias Lukumay is Elias Lukumay...what else do you want to know? you want to 'tapeli' him?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Lowassa kugombea ubunge Monduli?

    'ANAMWANDAA' kivipi? this is rubbish! ipelekwe kwenye udaku inakostahili!
  8. M

    JamiiForums Tanzania "Moto umewawakia, hawawezi kuuzima" - Mengi

    you are right, ila, Lilian alitaka ujumbe wa 'MARRIED' umfikie dada Rita (mambo ya rusha roho!!), magazeti ya 'udaku' yakapata ujumbe na kurusha hewani, babu Mengi akalia mafisadi wamemkalia kooni...wadanganyika tukadanganyika!!, kumbe ni ugomvi wa 'vicheche' vya Mengi!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mkapa above the law?: Allegations

    Katika hutuba ya kwanza ya rais JK bungeni, alisema watapitia upya mikataba yote iliyosainiwa hasa ya sekta ya madini. kauli hiyo ilinipa moyo kwamba mikataba yote mibovu itatenguliwa na serikali ya awamu ya nne. Badala yake, walisaini mikataba mengine tena nje ya nchi! Nilimaanisha kwamba...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mkapa above the law?: Allegations

    rev. Kishoka, Swala la kumuondolea kinga Mkapa na kumpeleka mahakamani ni hoja finyu na hatari. Kama Mkapa alifanya makosa akiwa rais, basi rais aliyeko madarakani atengue maamuzi hayo na kuyarekebisha. Tuchukue mfano rahisi, wamarekani wamemchagua Obama kuwa rais wao katika kipindi kigumu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania is proving to be a liability in EA integration

    Mpendakwao, hapa umesema vizuri kabisa! ni kweli wakenya wanachofuata ni ardhi tu na pengine ajira. kama uchumi wa Tanzania kama anavyosema huyo mungiki ni fraction of Kenya's econony, and if Tanzania is 'dirt poor' then, what the hell do they want with us? why do they want to push us so...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mkapa above the law?: Allegations

    Kwa kweli mimi binafsi nasikitishwa sana jinsi watu makini sana hapa JF tunavyotumia muda mwingi sana hapa kumshupalia mzee Mkapa kwa makosa aliyoyafanya akiwa ikulu! hili swala la kuzungumzia kumpeleka Mkapa mahakamani halina maana kabisa, ni wendawazimu tu! hizi ni fikra hafifu kabisa ambazo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kagoda: Ni Rostam

  14. M

    JamiiForums Tanzania Curious investor: Manji na Miradi yake

    OR Get hold of Reginald Mengi....
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa "Per Diem"? - Pinda aungwe mkono

    Hapa nakubaliana na wewe kabisa, mashirika mengi tu ya kimataifa yana semina na makongamano lakini hawana per diem... kama serikali itaboresha wages kama ulivyosema, hili la kuondoa per diem litawezekana kabisa kwa sababu sasa hivi makongamano yanatumika kama source of income na sio kwa sababu...
Back
Top Bottom