Mtazamo wa CHADEMA juu ya Lema kujiingiza gerezani

Nafikiri amuombe hakimu amfunge kabisa kama lengo nikufikisha message!
Hakuna zaidi yakutaka umaarufu hapo!Hizi zote ni mbwembwe,
nimeusoma vizuri waraka wa mh Lema kimsingi hana zaidi yakusaka umaarufu.
Mh Lema jamii itakutambua kama ni makini kweli ila sio kwa style hizo!

mkuu umaarufu gani unaosema maana kama umaarufu lema tayari maararufu
 
Kama mwanachadema ninaependa haki, alichokifanya Lema, kamanda mpiganaji ni sahihi. Lazima serikali ijuwe kuwa watu tunaopenda haki, na wale wazalendo wa kweli hatuogopi kufungwa. Polisi wanapaswa kujuwa kuwa tumechoshwa na unyanyasaji unaofanywa na vyombo vya dola. Lema ni mpiganaji mzalendo wa ukweli, nampa tano!
 
Pia tujiuleze je wale jamaa zake walipo kamatwa ofisini kwake je walipatiwa zamana, atawezaji kulala kwenye kitanda chake wakati wenzake wako ndani.
 
Alitolewa madarakni Gaddafi na ameongoza ile nchi kwa miaka zaidi ya 40 yeye mwenyewe, wapinzani waliikomboa nchi....sasa nyinyi CCM mnaongoza kwa miaka kumi kumi bado mnabadilisha bado mnasumbua wananchi.

Gaddafi aliijuwa libya nje na ndani na kila kona ya nchi, lakini alifanikiwa kunyanganywa sasa subiri CCM muda wenu umefikia sasa na siku njema huonekana asubuhi na sasa kumekucha....Na kila kitu kina mwanzo na mwisho siku zote....
 
Polisi Tunajua Mmo humu kwenye JF, nafikiri pelekeni ujumbe kuwa kwa hili la Mh Lema mmechemka na kama IGP angekuwa smart huyo OCD Zuberi angepumzishwa walau kwa jeshi kujaribu kujikomba kwa wananchi lakini kwa kuwa ninyi ni viburi haya endeleeni ila siku yaja.
 
Mm nadhani kama ni kutoka mahakamani akitembea na wafuasi wake kumfuata si kosa, wao (polisi) walipaswa kumhakikishia usalama wake mpaka huko anakofika. hilo ndio jukumu lao la msingi (Usalama wa raia).
 
CDM ni chama makini na kina wabunge wengi wazuri sana, ila kwa jimbo la Arusha, tukubali kwamba tumechemsha sana kumsimamisha mkora au chokoraa Lema kuwa mbunge wa Arusha. Huyu bwana amekuwa kituko na amelifedhesha sana jiji la Arusha tangia kuchaguliwa kwake kama mbunge...kauli zake ni za kichokoraa kama vile 'funga mlango tupigane' akiwa bungeni!! hii ni drama ya Lema kutafuta umaarufu kwa kukataa dhamana na kupelekwa rumande itamtokea puani...jiji la Arusha linahitaji mbunge makini...sio mkora kama Lema!!!
 
MAWAZO YANGU: Tusiifanye CDM kuwa chama cha kutoa matamko kama vyama vingine. CDM ni 'PEOPLES POWER' kwa hiyo wananchi (wana-Arusha) watatoa tamko zito tu lenye kuifundisha serikali.
 
Alitolewa madarakni Gaddafi na ameongoza ile nchi kwa miaka zaidi ya 40 yeye mwenyewe, wapinzani waliikomboa nchi....sasa nyinyi CCM mnaongoza kwa miaka kumi kumi bado mnabadilisha bado mnasumbua wananchi.

Gaddafi aliijuwa libya nje na ndani na kila kona ya nchi, lakini alifanikiwa kunyanganywa sasa subiri CCM muda wenu umefikia sasa na siku njema huonekana asubuhi na sasa kumekucha....Na kila kitu kina mwanzo na mwisho siku zote....

Ndugu kelele za chura hizo ng'ombe haachi kukata kiu!
 
CDM ni chama makini na kina wabunge wengi wazuri sana, ila kwa jimbo la Arusha, tukubali kwamba tumechemsha sana kumsimamisha mkora au chokoraa Lema kuwa mbunge wa Arusha. Huyu bwana amekuwa kituko na amelifedhesha sana jiji la Arusha tangia kuchaguliwa kwake kama mbunge...kauli zake ni za kichokoraa kama vile 'funga mlango tupigane' akiwa bungeni!! hii ni drama ya Lema kutafuta umaarufu kwa kukataa dhamana na kupelekwa rumande itamtokea puani...jiji la Arusha linahitaji mbunge makini...sio mkora kama Lema!!!

Huenda wa2 wanashindwa kuelewa u-wanaharakati ni ki2 gani!yani huu uka2ni wa huyu jamaa wakijiweni(lema) wa2 wanauchukulia nao ni harakati zaukombozi!
 
Mimi ni mwanachadema tangu 2005 na ninakipenda sana chama chetu makini CHADEMA. Kama wadau na wenye chama tunachukuliaje jambo alilofanya Mh. Lema kwa kukataa dhamana na kukubali kuingia gerezani?
Nani kakutuma uweke thread hii hapa maana wewe si msemaji wa chama chetu. Tafadhali
 
sasa kama katoa uamuzi wa kwenda nao hao walionyimwa mdhamana ni wakati gani aliandika huo waraka?
wakati anaamua ugomvi wa wazazi wako, si unajua matusi ya mzazi wako wa kike akisha pata kanga za mgao za sisiemu?
 
Tarehe 14 Novemba anatajarajiwa kurejea mahakamani tena sijui atakataa tena dhamana
Hapana, safari hii atakubali maana anamajukumu ya kusuluhisha ugomvi wa wazazi wako, maana mzazi wako wakike ana lugha ya kifedhuri hasa anapokuwa amepewa kanga za mgao za kijani kutoka kwa barozi wa nyumba kumi pale mtaani. Si unakumbuka alimpakazia baba yako kwamba alionekana kwenye maandamano ya chadema, matokeo yake polisi wakamweka selo bila hata kosa.
 
Nafikiri amuombe hakimu amfunge kabisa kama lengo nikufikisha message!
Hakuna zaidi yakutaka umaarufu hapo!Hizi zote ni mbwembwe,
nimeusoma vizuri waraka wa mh Lema kimsingi hana zaidi yakusaka umaarufu.
Mh Lema jamii itakutambua kama ni makini kweli ila sio kwa style hizo!
Huku uelewa waraka wa Lema, ungeuelewa usingeandika upumbavu huu. Tatizo la wapumbavu kama ninyi hukimbilia kutangaza kuwa mnaelewa mambo kumbe si lolote si chochote, mnaishia kuimba nyimbo za komba za........." wembe ni ule ule ushindi.........sisiem nambari wani...........wapinzani tuwachanechane tuwatupe......." Huku maisha ya kiwabana kama kawa! poleni sana nyie mambumbumbu.
 
CDM ni chama makini na kina wabunge wengi wazuri sana, ila kwa jimbo la Arusha, tukubali kwamba tumechemsha sana kumsimamisha mkora au chokoraa Lema kuwa mbunge wa Arusha. Huyu bwana amekuwa kituko na amelifedhesha sana jiji la Arusha tangia kuchaguliwa kwake kama mbunge...kauli zake ni za kichokoraa kama vile 'funga mlango tupigane' akiwa bungeni!! hii ni drama ya Lema kutafuta umaarufu kwa kukataa dhamana na kupelekwa rumande itamtokea puani...jiji la Arusha linahitaji mbunge makini...sio mkora kama Lema!!!
Wewe hujielewi, na hujui kabisa kuwa hujielewi, utakapojua kuwa hujielewi utakuwa umezeeka na huna mchango wowote katika taifa zaidi ya kuzarisha kinyesi tu.
 
Kama Lema alijipeleka jela na amekataa dhamana Kama ulivyoandika hapa,hivi umeshajiuliza sababu ya yeye kukataa kuwekewa dhamana!!?.

Aaah! kumbe kamanda alijipeleka mwenyewe halafu akakataa dhamana! Kumbe basi mgomo uahirishwe maana kugoma ni kumpuuza, kumdhalilisha na kumpinga kamanda wetu.
 
Mimi kama mzalendo, mpenda haki, mwajibikaji na mpenda kupigania haki za wale wote wanaonyimwa haki yao na kundi lolote lile, nampongeza ndugu Lema kwa uamuzi wake huo. Hili ni somo tosha kwa vyombo vya dola na hasa jeshi la polisi ambalo limekuwa na kawaida ya kunyanyasa wananchi na kuwapa vitisho huku likitetea viongozi wa serikali wasio waadirifu kwamba, hatuogopi kwenda jela kwa kupinga viongozi wadhalimu, wasio wazalendo, au kwa kutetea wananchi walipa kodi ili wapate haki zao. Hatuwezi kuwa na taifa lenye watu wenye nidhamu ya woga kisa vitisho vya polisi. Hongera sana Lema, umeonesha njia kwa wapiganaji wengine.
 
Mbunge ni mwakilishi wa jimbo husika pale bungeni. Mbunge ni kioo cha jimbo husika. Mi nafikiri ni uzalilishaji mkubwa sana kwa wananchi wa jimbo husika kuwekewa mbunge wao gerezani, Hasa anapokuwa kwenye harakati za kutenda haki.

Watu wa Arusha inabidi muonyeshe mfano kupinga hilo, sisi wengine tupo nyuma yenu, Nyie mkiwa kimya na wengine wa majimbo mengine watafuata.

Kama mmeamuaa kufanya kitu kesho kukomesha hali hii, na mfanye kweli. Askari wanaishi kwa kodi zetu, tunawalipa kulinda haki na sio kutunyanyasa kwa maslahi yao binafsi.

Agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!
 
Back
Top Bottom