Recent content by mr iko press

  1. M

    JamiiForums Tanzania What Goes Around Comes Around

    punguza ukwel mkuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania ITV Kipima Joto

    yanaeleweka tena saana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Loans Board kuweni serious na mfumo wa kuapply mkopo

    wewe ucwaze jeshi waza kwanz HESLB,, labda kama mzee wako ni waziri lakn kama ni mtt wa mkulima hakikisha unajaza kwanz form za mkopo
  4. M

    JamiiForums Tanzania JKT wasogeza mbele tarehe ya kuripoti makambini kutoka tarehe 05 hadi tarehe 07 Juni 2016

    sasa hao wanafunzi itakuaje kwani bado hawajaomba mikopo yao
  5. M

    JamiiForums Tanzania HESLB, OLAS bado hawajaanza kupokea maombi ya mikopo 2016/2017

    sasa itakuaje kwa hawa wanaoenda jeshin kwa sababu hadi saiv bodi haijaanz kupokea maombi na tar 1 wanatakiwa kuripoti jeshin
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je kuna madhara gani kama hutoenda JKT?

    hakuna uhusiano wowote kati ya kutoenda jkt na kuchaguliwa kwenda chuo,,, wew saiv sahau kuhusu jkt uhakikshe kwamba unajua nn hatima ya loan board kwanz
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu JKT

    msikimbilie jeshi kabla hamjajua nn hatima ya loan board
  8. M

    JamiiForums Tanzania Atachaguliwa kwenda A LEVEL?

    Kuna shule moja ya advance ipo ARUSHA inajulikana kama ENABOISHU HIGH SCHOOL ni shule nzur ada ni nafuu,,,, Kwenye hyo shule yupo madam anaitwa KELEN anawalipia ada watu ambao hawana uwezo so kama angepata mawacliano yake nahisi dogo huyo angefaidika. Kinachotakiwa ni kuwa muwazi na ueleze...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vipi kudeal na mama mkwe mkorofi

    Anza kuchunguza kitu gani kinafanya kuwa wakorofi then chukua hatua
  10. M

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Mi namshaur arudi clas, dogo huyo anauwezo wa kupata credit nyingne akaendelea form 5,, lakin ajitahidi sana awe sirias na kitabu
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimuache huyu dada ili nielewane na dada zangu?

    Nashukuru sana wakuu kwa mawazo yenu,, bado naendelea kupokea mawazo yenu kwan ni muhimu sana kwangu katka kipindi hiki ambacho ctaweza kukisahau..
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimuache huyu dada ili nielewane na dada zangu?

    Nashukuru sana wakuu naamin mmenifungua kchwa Tatizo wao wanadai kuwa wamenisomesha
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimuache huyu dada ili nielewane na dada zangu?

    Nashukuru sana wakuu naamin mmenifungua vchwa
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimuache huyu dada ili nielewane na dada zangu?

    Habari zenu ndugu. Mm ni kijana wa miaka 22 bado nasoma chuo kimoja hapa nchini. Mwaka huu mwezi wa 2 mpenzi wangu aliniambia amepata ujauzito baada kukutana nae kimwil mwaka jana mwez wa 12,,, lakin shida inakuja baada ya kuwaambia ndugu zangu kuhusu suala hilo ambapo mgawanyiko ulitokea baada...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu single mother kanin'gan'gania sana

    Hata ucngeandika broken but huu ni uhaba wa fikira,na ulimbuke,,, unaandika kama wasichana bhana,, tumia lugha moja tu utaeleweka tena vzur
Back
Top Bottom