Super human
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,147
- 752
- Thread starter
- #61
Mkuu umeonaee?Kuna msemo wa kitoto tulikuwa tunasema ukianguka na baiskeli basi weye tayari umejua sasa tuendelee hivi hivi kuchapia na wengine wanafaidika kwa ukosolewaji lugha inapanda jamani imekuja kwa jahazi sijui ngalawa mambo ya pepo za kusi na kaskazi haya.