bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,323
- 2,448
Hii habari ni kwa ajili ya wanafunzi wote waliomaliza form six mwaka huu ambao wanataka kuapply loans board ili waweze kupata mkopo kwa ajili ya mafunzo elimu ya juu.
Hali ni iko ivi loans bodi bado hawajatangaza kuanza kupokea maombi kwa sasa. endapo utalipia mpesa sh 30,0000 tsh utashaangaa kuona kwamba transation id ya mpesa haifanyi kazi kila unapotaka kuanza procedure ya kujirejister utaona unaandikiwa invalid transaction id pamoja na if id is correct try again later na hio baadae is like forever haifiki utasubiri mpaka ushangae na ndicho kilichonitokea mimi mpaka ikabidi nichukue hatua niende officin kwao kujua kulikoni baada ya kuwapigia vodacom na kuambiwa kuwa wenyewe hawana shida yoyote mtandao wao unafanya kazi kama inavyotakiwa hivyo ilinibidi niende loans nikaongea na mlinzi pale mlangoni kumweleza anielekeze nipeleke wapi malalamiko yangu nikashaangaa aliponiambia kuwa mimi si wa kwanza na kuna watu wengi ambao wameenda wakiwa na shida kama yangu ambapo yeye ameambiwa na mabosi kuwa mikopo ya form six ni bado mpaka pale watakapo tangaza kwenye vyombo vya habari ili watu wote tanzania nzima wasikie na sio kwenye mitandao kama habari zilivyopatikana awali kwamba bodi wameanza kupokea maombi.
So shida kwa sasa ni kwamba kuna sintofahamuu kwamba pesa hizi watu walizolipia m pesa zitafanya kazi endapo wataanza usajili .
Pia kasheshe ipo kwa baadhi ya stationary ambazo zimewachaji pesa kubwa wahitimu wa kidato cha sita mpaka sh 60,000 tsh kwa ahadi kwamba wanafanya kila kitu juu ya usajili...... kazi kweli kweli na ambao ndo wanataka kulipia ni bora wasilipie wasubiri mpaka watakaposikia maredion tv na magazeti. maandalizi mema kwa wote wanaondeda jeshii.
Ni mimi reporter wako bahati