ni kama msanii wa hip hop anayetafuta punchline wakati wote
ukiwa analyitical catchy moments zitakuja tu haina haja ya kuziforce.......binafsi sikuona haja ya kumuuliza kihongosi nchimbi yuko wapi (hili halikuwa na mantiki)
watu ni either hamjui mpira au mmeweka mahaba ya timu mbele
Hiyo foul ukisema jamaa amekusudia kumuumiza pacome utakuwa mwongo kwa sababu it's clearly alikuwa anataka kucheza mpira or kufanya tackling block ambayo bahati mbaya imekutana na mguu wa pacome ukiwa kwenye movement
Mange alikuwa anampinga sana Magufuli lakini asingeweza kushawishi watu waandamane kipindi cha Magufuli (WASINGEKUBALI)
Swali mnalotakiwa kujiuliza nyie chawa ni kwa nini sasa hivi amefanikiwa kuwashawishi (actually serikali imemsaidia pakubwa kuwapa wananchin ushawishi)
NB:Na mshukuru Mungu...
huyu na ndugu zake
frimpong na Connor Bradley ndo chanzo cha matatizo yetu
mimi siwez kumlaumu kocha bado hata tukifungwa mechi 10 mfululizo
we have to find a way to build up our play from the center maana sasa hivi mashambulizi kuanzia kwa gravenberg timu pinzani zimeshstuka zinapiga...
nilisema hapa kwenye mechi ya kwanza kabla ya tsimikas hajaondoka kuwa aachwe cause Kerkez is "not him" na Robertson amechoka
KIUFUPI root ya matatizo yetu ni wing backs zetu kushindwa kufanya build ups na hatuwez kufanya build up from the center
ushindi wa leo mzuri sana maana umewakata kidomodomo arsenal wamezoea kuja anfield kutafuta draw halafu wanavimba mtaani
ila naomba nielekezwe kama mtoto wa darasa la tatu..... majukumu ya wirtz ni yapi hasa? na mpaka sasa hv tunarate vp utekelezaji wake katika hayo majukumu yake
narudia kusema hili kama Kostas tsimikas hajaondoka basi asiuzwe cause he's way better than Kerkez na Robertson is washed hatuwez kumtegemea.....goli la kwanza ni la Kerkez 100%.
wirtz kuna haja ya kurudi gym maana ni kama anakuwa bullied physically
naona Kostas anasepa ila mimi kwa upande wangu naona bora angesepa Robertson maana hata huyu Kerkez aliyekuja sioni kama ni mzuri kihivyo(tuseme haja adopt)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.