Recent content by Mpita Njia

  1. Mpita Njia

    JamiiForums Tanzania Muafaka unaokuja Zanzibar ni mwendelezo wa ulaghai

    Upo msemo wa Kiingereza ambao tafsiri yake inasema; “kurudia kufanya jambo lile lile, kwa namna ile ile, huku ukitarajia matokeo tofauti, ni uendawazimu.” Sitaki kusema kuwa Zanzibar imefikia hatua hiyo linapokuja suala la muafaka. Lakini imefika wakati sasa tujiulize hii miafaka (sijui kama...
  2. Mpita Njia

    JamiiForums Tanzania Hatutapata suluhu ya kweli mpaka turidhiane kwanza

    Wanaoshangilia siku 100 za rais Samia madarakani wasishangilie sana. Wasishangilie sana kwa sababu kwanza kinachotajwa kuwa ni mafanikio kwa hakika ni sehemu ya utekelezaji wa mambo ambayo serikali inaoaswa kuyatekeleza. Unashangiliaje kuwa hivi sasa watu wanapewa maiti bila kudaiwa bili...
  3. Mpita Njia

    JamiiForums Tanzania Wahuni wavamia CCM

    Aliyewahi kuwa Katibu wa Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, aliwahi kunukuliwa akisema kuwa mtu akiwa amenyooka kama rula ndani ya CCM, akimaanisha kuwa mtu wa kufuata maadili na taratibu, basi ni vigumu sana kutoboa (kufanikiwa) ndani ya chama hicho. Polepole alisema hiyo...
  4. Mpita Njia

    JamiiForums Tanzania Dreamliner yaanza safari kwa kishindo: Tiketi za Mwanza na KLM tayari zimeisha mpaka tarehe 18 Agosti 2018

    Ahaaaa bosi, kwani lini tulitembea kifua nyuma? hahahaha
  5. Mpita Njia

    JamiiForums Tanzania Nyimbo unayoipenda kuliko zote duniani

    lean on me - Michael Bolton
  6. Mpita Njia

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wakuu wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara, ambapo kati yao 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo vyao vya kazi, 5 wamehamishwa vituo vya kazi na 1 amepangiwa Mkoa Mpya wa Songwe. Uteuzi...
  7. Mpita Njia

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    tatizo hapo kwenye beki, kama Terry hatokuwa amepona, hivi akiumia mmojawapo, nani anaweza kuchukua nafasi na kumudu!
  8. Mpita Njia

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Leticia Nyerere afariki dunia

    RIP Leticia
  9. Mpita Njia

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi wa Mnyika: Atumia Pesa Yote ya Mkopo wa Gari Kufanya Uwekezaji DSE

    Kwa hili Mnyika anastahili kusuifiwa na si kulaumiwa. Uwekezaji huo (kama ni kweli) utamwezesha kupata faida endelevu ambayo inaweza kufanya mambo mengi kuliko yule ambaye fedha zote amezipeleka kwenye miradi ambayo haizalishi
  10. Mpita Njia

    JamiiForums Tanzania Natafuta camera

    Tutaonana vipi? My number 0766979749
  11. Mpita Njia

    JamiiForums Tanzania Natafuta camera

    Natafuta camera aina ya canon d600 au kwajina jingine canon kiss x5.
  12. Mpita Njia

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda na Rwanda zashtukia mchezo mchafu unaochezwa na Kenya EAC

    Urafiki wa mashaka
  13. Mpita Njia

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mtoto wa Mtoboasiri afariki dunia

    Poleni sana na msiba. Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema
  14. Mpita Njia

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

    sasa kwa nini mnanialika nikampigie kura?
  15. Mpita Njia

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

    Hata wakati wa kupiga kura nitapita njia tu
Back
Top Bottom