mkono wa nyoka
JF-Expert Member
- Sep 21, 2015
- 334
- 54
alikuwa anasumbuliwa na nn
RIP Leticia. Mungu amekuchukua ukiwa umerejea katika njia ya kweli
Rip, alikuwa mtoto WA nyerere au?Aliyekuwa mbunge wa chadema bunge la 10 na bdye kurudi ccm amefariki usiku wa leo nchini marekani.Mungu ailaze roho Yale Mahali pepa peponi
RIP LeticiaAliyekuwa mbunge wa chadema bunge la 10 na bdye kurudi ccm amefariki usiku wa leo nchini marekani.Mungu ailaze roho Yale Mahali pepa peponi
Hizo pole wape maccm,alishasnitch huyo,R.I.P anyway.R.I.p Mbunge viti Maalum Chadema pole kamanda Mbowe na wanachama wote wa Chadema.
Katika masuala ya msiba watu huwa hawaongei kwa utani, yapo mambo ambayo masihara ni sehemu yake. Siku nyingine usitumie lugha ya kejeli wakati mjadala unahusu uhai wa mtu.R.I.P Leticia. Alikuwa na kibali cha Pombe?
Nadhani nyota yake ilingaa sana wakati akiwa chadema kuliko huko ccm ndio maana jamaaa akaandika ALIYEKUWA MBUNGE CHADEMA.Kwa kuwa aliisha jiondoa CHADEMA tangu july 2015, hivyo kutumia neno aliyekuwa Mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA sio mahala pake ni vema mkaandika aliyekuwa mwanachama wa CCM na msiihusishe CHADEMA kwani hadi mauti yanamkuta huyu alikuwa CCM.
Uncle kausha tupo msibani aise......watu tumenuna wewe unaleta masikharaDah huyu mama kila siku anatangazwa kafa vipi ukiitwa nyerere lazima kifo chako kiwe cha utata tu ??

Apumzike kwa amaniKwa kuwa aliisha jiondoa CHADEMA tangu july 2015, hivyo kutumia neno aliyekuwa Mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA sio mahala pake ni vema mkaandika aliyekuwa mwanachama wa CCM na msiihusishe CHADEMA kwani hadi mauti yanamkuta huyu alikuwa CCM.
Uhai wa mtu tena...sema mwili wa aliyekuwa haiKatika masuala ya msiba watu huwa hawaongei kwa utani, yapo mambo ambayo masihara ni sehemu yake. Siku nyingine usitumie lugha ya kejeli wakati mjadala unahusu uhai wa mtu.
Njia ya kweli ni kumrudia allahRIP Leticia. Mungu amekuchukua ukiwa umerejea katika njia ya kweli
Asante mkuu siku njemaUhai wa mtu tena...sema mwili wa aliyekuwa hai
correction