Recent content by Mpiganaji wa watu

  1. Mpiganaji wa watu

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Dira: Kashfa ya kuhongwa - Zitto, Ole Sendeka, Sarah Msafiri na Anne Kilango watajwa

    du hapa msafi sijui atabaki kuwa nani kwa mtindo huu
  2. Mpiganaji wa watu

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Benedict Mutungirehi na kundi la G211 pale UDSM mwaka 1994

    ukweli naona nyota tu!!!!
  3. Mpiganaji wa watu

    JamiiForums Tanzania Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Wadau naombeni msaada wa kujua dawa ya kutibu harufu ya kikwapa permanently, nimechoka kutumia deodorants daily, naomba anaefahamu dawa yeyote whether mbadala au kawaida, pliiiz, with thaks!
  4. Mpiganaji wa watu

    JamiiForums Tanzania Upendo wangu wa kweli kwa wanawake umepotea kabisaaa..

    kula mua ganda tupa, who iz mwanamke to u?,wanaumiza smtym,fanya maendeleo tu bora
  5. Mpiganaji wa watu

    JamiiForums Tanzania Madaktari kutoka Tanzania wapokelewa kwa heshima Botswana

    na wlimu vip twende kenya au rwanda wanalipa ngapi kweli
  6. Mpiganaji wa watu

    JamiiForums Tanzania Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

    liwalo na liwe
  7. Mpiganaji wa watu

    JamiiForums Tanzania CCM kama kawaida yake, imekodi magari na pikipiki za kuwakusanyia wanachama leo Iringa

    jamani hii hoja ya ukabila imekua ikiendelezwa na wavivu wa kufikir,tunaangalia ilani na mipango ya chama kwa watanzania,hivi tukisema ccm imejaa watoto wa wakubwa waliorithishwa vyeo mtasemaje,we angalia kama jina lako halina ubini wa,kawawa,nnauye,makamba,mzindakaya,huna chako ccm,lakini...
  8. Mpiganaji wa watu

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Maige kama mbunge leo bungeni

    alisema kapania bunge
  9. Mpiganaji wa watu

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji kuvunja mahusiano,enough is enough!

    ndugu wajomba na ma aunt naombeni mnisaidie dawa ya kikwapa coz inachosha deodorant daily jamani,natanguliza shukrani
  10. Mpiganaji wa watu

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu CHADEMA na Harakati Zake

    tatizo mnasumbuliwa na wasubir zawdi nya vyeo hakna lolote ccm ni ufisadi na kugawan vx
  11. Mpiganaji wa watu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA muache uchokozi!

    sinema inaendelea...........
  12. Mpiganaji wa watu

    JamiiForums Tanzania Taifa stars vs Mozambique.

    matokeo ngapi till now
  13. Mpiganaji wa watu

    JamiiForums Tanzania Maandamano, mkutano wa CCM/Nape Njombe

    sasa jaman kweli nape unajivunia kwa hili? kubakiza watoto mikutanoni mh?,hivi kwa akili yako unajua kwanini tumekua tukihamasika kwa wingi kwenda kuwasikiliza wapinzani coz wameonekana kuwa wapo karibu yetu kuliko nyinyi mmejaa vitambi tu na pengine kuhemea juu juu,wakati maisha yetu magumu
  14. Mpiganaji wa watu

    JamiiForums Tanzania Maandamano, mkutano wa CCM/Nape Njombe

    sasa jaman kweli nape unajivunia kwa hili? kubakiza watoto mikutanoni mh?,hivi kwa akili yako unajua kwanini tumekua tukihamasika kwa wingi kwenda kuwasikiliza wapinzani coz wameonekana kuwa wapo karibu yetu kuliko nyinyi mmejaa vitambi tu na pengine kuhemea juu juu,wakati maisha yetu magumu
Back
Top Bottom