Upendo wangu wa kweli kwa wanawake umepotea kabisaaa.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upendo wangu wa kweli kwa wanawake umepotea kabisaaa..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nakapanya, Jul 3, 2012.

 1. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  Nakumbuka wakati nipo shule ya msingi kuna msichana nilimpenda sana na yeye alijua ya kuwa ninampenda kutokana na jinsi nilivyokuwa namfanyia,sikuweza kuwa naye kwasababu ya kukosa uthubutu wa kumwambia yanayonisibu.Nilipofika sekondari kwakweli kuna msichana nilitokea kumpenda ile mbaya,naye vile vile tukawa naye karibu sana lakini sikumwambia kilichokuwa ndani ya moyo wangu.Baadaye huyu msichana akapata boyfriend kwakweli roho iliniuma sana lakini tuliendelea kuwa marafiki wa kawaida,baada ya kumaliza o level na mimi kuingia form 5 nilifanikiwa kuwa naye katika uhusiano,nilihisi moyo wangu kutulia na kuwa na furaha tele,kifupi huyu binti nilimpenda sana.

  Bahati mbaya mapenzi yetu hayakudumu sana kwani alinimwaga kwa visingizio kibao,kwakeli sitaisahau siku ile maishani mwangu mpaka naingia kaburini,nakumbuka nilikaa wiki nzima kama nimechanganyikiwa hata kitabu hakipandi;baadae nilizoea na kuikubali hali hiyo.Sasa baada ya hapo upendo kwa wanawake uliisha kabisaaaa,nikipata mwanamke ujue ni wa siku moja au mbili umekwisha yaani tukisha kutna kimwaili mara moja tu ujue ndio mwisho wa mahusiaono,kweli mpaka sasa nimeshakuwa na wanawake kibao na wengine kweli huonyesha kunipenda kwa dhati lakini kwavile moyo wangu umeshakufa ganzi na hauna mapenzi ya kweli tena;muda mwingine huwanawaonea huruma sana wasichana hao lakini ndo hivyo,hisia za mapenzi kwa yule msichana hadi leo zinantesa kiukweli bado nampenda,i think she is the woman if my life though she dont want me anymore.wadau naomba ushauri wenu nifanyeje juu ya hili.ahsanteni.
   
 2. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Soma thread ya The power of letting go alafu uje ufanyiwe maombi uyo pepo akutoke
   
 3. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  i think advice will be of very much useful kuliko kuombewa au sio walimweusi
   
 4. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,724
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  chapa ilale
   
 5. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  unamaanisha nini ndugu
   
 6. k

  kisukari JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,766
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  du,kumbe kicheche hivyo.kama ni hivyo,kaa mwenyewe single na sio kikojoleo chako kukiingiza kwa kila mwanamke.kuumizwa katika mapenzi ipo sana tu,jaribu kuikubali hali iliyotokea iwe kama ur past,na kujaribu ku move on,mbona wengine tumeweza kwa nini wewe ushindwe?kuna watu hukumbwa na majanga makubwa kuliko yako na wanajitahidi na wana songa mbele,na wewe jaribu kuwa mmoja wapo.usi wa use hao wanawake bwana,haipendezi
   
 7. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  nimejaribu sana kumove on,marafiki wamenisaidia sana katika hili,inatokea namsahau kwa muda fulani ila baadaye namkumbukatena.pia natanmani kurudisha sana moyo wanu uwe na mapnezi ya dhati lakini nashindwa,nashindwa kumkea mwanamke yani it's like a disaster to me
   
 8. k

  kisukari JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,766
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  kama ni hivyo,huo sasa ni ugonjwa,na tiba yake mimi siijui.maybe jaribu kuwa mtu wa dini
   
 9. Mpiganaji wa watu

  Mpiganaji wa watu Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kula mua ganda tupa, who iz mwanamke to u?,wanaumiza smtym,fanya maendeleo tu bora
   
 10. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kubali hali halisi mkuu.. Achana na mambo ya mahusiano.. Yatajipa yenyewe baadaye..
   
 11. K

  Kessy Hamisi Member

  #11
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ngoja nikuulize swali umesema upendo wa huyo msichana unakutesa,je kama ungekuwa naye halafu akakusaliti au akafariki,ina maana usingependa tena?
   
 12. K

  Kessy Hamisi Member

  #12
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Le'mi ask u a question,umesema upenda wa huyo mdada ndio unaokutesa,je kama ungekuwa naye halafu akakusaliti au akafariki ina maana usingependa tena?
   
 13. g

  glorius New Member

  #13
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana,ndo maisha,kubal kwamba its over pia amin you can let her go,wewe sio wa kwanza na wewe sio wa mwisho kupitia tabu za mapenzi,ila unaweza ukawa wa kwanza kumruhusu mtu mwingine ayaharibu maisha yako,
  here is what you can do.
  kwanza pray to God,pil waza kuwa unaweza kufanya jambo lolote ikiwemo kumsahau huyo dada na kumpenda msichana mwingine,tatu ongea positively"comfesion z possesion"
   
 14. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Usilipize watu wasio kua na hatia,na ukijenga akili hiyi ktk maisha yako ujue utapotea sanaaaa,na hutokua na mwelekeo utajikuta unamiaka 50 bado una chovya chovya tuu na humalizi..
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  nikuulize swali, huyo mwanamke ulizaliwa nae?
  kwa nini mtu akuumize akili?
  afterall hurt n pain ni kawaida kwenye mapenzi,
  ukishindwa unaacha/unaachwa....

  unatafuta mwingine......
   
 16. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  i will try
   
 17. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  sasa umri unakimbia ndugu,nahitajika kuoa na kuwa na familia,huni hyo itakuwa tatizo?
   
 18. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  ushauri wako ni mzuri kaka,ila ndo nakaribia 30s,vp kuhusu maisha ya ndoa kama hali hii ikiendelea?
   
 19. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  kessy bora angefariki ningejua kwamba sitamuona tena,lakini sasa yupo na ninamuona,mbaya zaidi anapokuwa na boyfriend wengine hapo mi ndio naumia zaidi na yeye anajua kama mi kwake nimeoza na ninahic anafanya makusudi ili kunitesa.
   
 20. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,929
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  thanx,i shal work on that
   
Loading...