Taifa stars vs Mozambique.

Taifa stars vs Mozambique.

Jamani link zote hizo hazifanyi kazi
 
dakika ya ngap na kwa wanaofuatilia vp kuna matumaini ya kusawazisha au ndio hivyo wanatubonyeza hawa wamakonde?
 
Wandugu, hakuna live stream inayoonyesha hii mechi?
 
ama kweli taifa stars ugonjwa wa moyo
 
People timu zetu,
bado ni kichwa cha mwenda wazimu,sina matumain na kuvuka raundi hii.
 
duuh nimeishiwa pozi. Pamoja na kubeti kote huko? Watoe hata draw bac.
 
Half time tayari naambiwa
ni 1 - 0
 
Back
Top Bottom