CCM kama kawaida yake, imekodi magari na pikipiki za kuwakusanyia wanachama leo Iringa

Huyo Panadol nafikri ana ugonjwa wa akili na kupooza ubongo,ni kama vile anaingiliwa vile kwa kukosa hoja za msingi.Amejisajiri February,2012 anakurupuka na tongotongo humu.Oh udini,ukabila,ukanda ....Janga la Taifa alilianzisha sasa nimemkumata na hana uwezo kusuruhisha hata ngazi ya kitongoji na imekula kwenu mafisadi.
 
Bw. Panadol umepitwa na wakati! Huo uongo wako ulikuwa ukitumiwa na CCM kuanzia 1993 pindi vyama vingi vilipoanzishwa kuelekea uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi 1995, kwamba wapinzani hawafai ni waongo na wataleta vita. CCM wameachana na lugha hizo za kitapeli baada ya kubaini watu wa leo wameelimika kuhusu mfumo huu tofauti na mwanzo, wewe leo ndio unaanzisha. Katiba yetu na sheria ya vyama vingi vyote haviruhusu vyama vya kidini na kikabila, na wasimamizi wa sheria hii kwa kutumia katiba tuliyonayo ya ki-CCM wote ni makada wa CCM. Vyama hivi vikibainika ni vya kidini au kikabila vitakosa sifa ya kuwa vyama vya siasa na kwa vile wasimamizi ni makada wa CCM vinafutwa siku hiyohiyo. Basi mwelekeze Tendwa, avifute kama unayoyasema ni ya kweli. Najua hawezi kwa sababu unayoyasema ni ya uongo!Kufanyika kwa chaguzi ndogo mwaka jana kumesaidia kujua viongozi waongo, matapeli wenye matusi wako chama gani na wanakushangaa unapoanza kuwafundisha kinyume chake. Kwa ujumla wanakuchukulia wewe msaliti wa matarajio ya ukombozi na watu wa aina hiyo hawakosekani kwenye jamii. Makaburu walipandikiza watu wa aina hii lakini wakati wa ukombozi ulipowadia watu wakakata minyororo. Haya yanatokea popote duniani.

Posho itawaua vijana wa chadema,mnadanganya na kupotosha umma wa watanzania ili waichukie CCM na Serikali yake,wewe uko makao makuu ya chadema mnapewa posho mpo kwene mitandao ya jamii kwa IDs tofauti tofauti lengo kukwepesha ukweli na kufanya uchochezi kwa wananchi ili waichukie CCM na Serikali yake,Eti wenyewe mnaifanyia kampeni chadema kijanja ili kujiimarisha kisiasa ! Jibuni hoja,wabunge wa chadema wametekeleza yapi kwa yale waliyohaidi wakati wa uchaguzi mkuu 2010?Vinginevyo dhambi ya uwongo itawatafuna na mtaadhibiwa kwa ahadi zenu hewa chaguzi zijazo! Watanzania wamechoka na longo longo zenu chadema,wanataka utekelezaji wa waliyohaidiwa majimboni Kawe ,Ubungo,Arusha mjini,Iringa mjini,Mbeya mjini ,Hai na kwingineko!
 
Kunya anye kuku,akinya bata kaharisha ...Ni chama cha kidini na kikabila wewe kama mtanzania mzalendo fanya tafiti ndogo mtaani ulipo utagundua asilimia 99.99% ya wachaga wote hapa nchini ni Chadema alafu pia pale makao makuu kuanzia uongozi wa juu wa chama yani Mwenyekiti wao mpaka viongozi wa ngazi ya chini na wafanyakazi wa kawaida yani masekretari,wafagiaji mpaka walinzi kwenye ofisini za chadema asilimia 99.99% ni wachaga na wakiristo! Amkeni watanzania wazalendo popote mlipo elimisheni na wengine kutokuichagua chadema ili kulinda Amani,Umoja Na Mshikamano tulionao watanzania ,Mungu ibariki Tanzania ,Mungu ibariki Afrika! Asanteni

Pale Zanzibar 100% ya viongozi wa CCM wa juu wa CCM mpaka wafagiaji ni uamsho, Marais wote watano (100%) wa Tanzania ni uamsho.

Uwe mkweli kwa Chadema, Bob Makani alikuwa msukuma, Sugu toka Mbeya, Zitto Kigoma, Slaa toka Arusha-Siyo mchagga, Lisu toka Singida nk! Mtaani kwetu Kuna wachagga watatu, mmoja CDM na wawili CCM-bendera za CCM zina pepea kwenye biashara zao!!
 
Unapopigana nguvu huchagui sehemu ya kumpiga adui.... silaha zote muhimu hutumika wakati wa vita.....
 
Posho itawaua vijana wa chadema,mnadanganya na kupotosha umma wa watanzania ili waichukie CCM na Serikali yake,wewe uko makao makuu ya chadema mnapewa posho mpo kwene mitandao ya jamii kwa IDs tofauti tofauti lengo kukwepesha ukweli na kufanya uchochezi kwa wananchi ili waichukie CCM na Serikali yake,Eti wenyewe mnaifanyia kampeni chadema kijanja ili kujiimarisha kisiasa ! Jibuni hoja,wabunge wa chadema wametekeleza yapi kwa yale waliyohaidi wakati wa uchaguzi mkuu 2010?Vinginevyo dhambi ya uwongo itawatafuna na mtaadhibiwa kwa ahadi zenu hewa chaguzi zijazo! Watanzania wamechoka na longo longo zenu chadema,wanataka utekelezaji wa waliyohaidiwa majimboni Kawe ,Ubungo,Arusha mjini,Iringa mjini,Mbeya mjini ,Hai na kwingineko!
Hivi wewe unaongelea Posho za CDM unajua utajiri ilionao CCM inayowakumbuka wanchi masikini kipindi cha Kampeni?
Bila ya Posho CCM Wanakusnya kutoka;
1. Viwanja vya michezo mikoa yote na wilwyani pia
2. Nyumba za Bihashara karibu kila wilaya
3. Ada za wanachama karibu zaidi ya milioni tano.
4. Bakuli la kuomba kwa wafanyabihashara wanao ibomoa kwa sasa.
5. Bakuli kwa wawekezaji wa nje.
6. Ongezea na wahisani.
7. Migawo kutokana wizi wa mali za umma (uifisadi) kama EPA nk.
Sasa twmbie na wewe unapata mgawo au huwa unasubiri kofia tisheti kanga na vitenge wakati wa kampeni?
Au na wewe ni mmojawapo wa wale wanaolipwa kwa kuwajerui wapinzani?.
attachment.php

Ufisadi mwingine ni kama huu wanyama wakipelekwa nje kwa njia ya wizi.
 
kejeli,matusi,dharau,masengenyo ndiyo kawaida yenu chadema,nimekwambia ahadi zote zilizotolewa na CCM lazima zitekelezwe,kijana mpaka unamuona mgombea wa CCM anasimama jukwaani na kutoa ahadi ujue ahadi yake imefanyiwa utafiti,gharama yake inajulikana na lazima itekelezwe,kaa ukijua hakuna lisilokuwa na deni katika dunia hii ata taifa la Marekani lenye nguvu kubwa kiuchumi duniani na lina rasirimali kibao lina deni kubwa,iwe sisi Tanzania wewe wa wapi?cha msingi pesa ipatikane,maendeleo yaonekana imnufaishe mtanzania,wakati inahaidiwa kujengwa chuo kikuu cha UDOM,chadema mlibeza leo mmekaa kimya,kuhusu hizo meli subirini mtakaa kimya pia mtakosa la kuongea,Kwa CCM ahadi zote zitolewazo zimefanyiwa utafiti,gharama zake zinajulikana na zinatekelezeka,lazima zitekelezwe mpaka tunafika 2015 sehemu kubwa ya ahadi zitakuwa zimetekelezwa ,wewe utajionea mwenyewe kwa macho yako,SIKULAZIMISHI UELEWE KWA KUWA UBISHI,UWONGO, KEJELI,DHARAU,UPOTOSHAJI;UCHOCHEZI ndiyo jadi yenu Chadema! Jibuni hoja tafadhari,wabunge wa chadema wametekeleza yapi kwa yale waliyohaidi majimboni mwao wakati wa kampeni uchaguzi wa 2010 ? Wananchi wanataka majibu jamani,vinginevyo watawaadhibu vikali chaguzi zijazo!
Mbona umeshajibiwa Mara nyingi wewe umeishia kusema kejeli .......hiyo ngonjera tumeichoka tunataka Dubai hapa kigoma sisi
 
Hivi wewe unaongelea Posho za CDM unajua utajiri ilionao CCM inayowakumbuka wanchi masikini kipindi cha Kampeni?
Bila ya Posho CCM Wanakusnya kutoka;
1. Viwanja vya michezo mikoa yote na wilwyani pia
2. Nyumba za Bihashara karibu kila wilaya
3. Ada za wanachama karibu zaidi ya milioni tano.
4. Bakuli la kuomba kwa wafanyabihashara wanao ibomoa kwa sasa.
5. Bakuli kwa wawekezaji wa nje.
6. Ongezea na wahisani.
7. Migawo kutokana wizi wa mali za umma (uifisadi) kama EPA nk.
Sasa twmbie na wewe unapata mgawo au huwa unasubiri kofia tisheti kanga na vitenge wakati wa kampeni?
Au na wewe ni mmojawapo wa wale wanaolipwa kwa kuwajerui wapinzani?.
attachment.php

Ufisadi mwingine ni kama huu wanyama wakipelekwa nje kwa njia ya wizi.

Posho at work kwa ajili ya kuficha ukweli na maovu ya chadema,wadanganyifu na wapotoshaji! Wewe unajua CCM kuliko wana CCM wenyewe,siri ya nyumba aijuae mwenye nyumba!
 
Posho at work kwa ajili ya kuficha ukweli na maovu ya chadema,wadanganyifu na wapotoshaji! Wewe unajua CCM kuliko wana CCM wenyewe,siri ya nyumba aijuae mwenye nyumba!
Umekosa majibu! lakini huu ndio ukweli. Tumezaliwa katika CCM tunaijua vizuri, kama uliyokalilishwa yameisha nenda wakufundishe.
Leo TAKRIMA yako imeipata kwa tabu ulizani hutujui yaliyomo ndani ya GAMBA na haya ni kwa uchache!.
(Bila ya Posho (RUZUKU) ya vyama vyenye wabunge, CCM Wanakusnya kutoka;
1. Viwanja vya michezo mikoa yote na wilwyani pia
2. Nyumba za Bihashara karibu kila wilaya
3. Ada za wanachama karibu zaidi ya milioni tano.
4. Bakuli la kuomba kwa wafanyabihashara wanao ibomoa kwa sasa.
5. Bakuli kwa wawekezaji wa nje.
6. Ongezea na wahisani.
7. Migawo kutokana wizi wa mali za umma (uifisadi) kama EPA nk.
Sasa twmbie na wewe unapata mgawo au huwa unasubiri kofia tisheti kanga na vitenge wakati wa kampeni?
Au na wewe ni mmojawapo wa wale wanaolipwa kwa kuwajerui wapinzani?.)
 
Tafadhali sana,matapishi yako uliyotapikia humu JF,yapeleke kwa wanachama wa magamba,wasio na upeo lakini kwa makamanda wapigania uhuru dhidi ya mkoloni ccm,hatuhitaji,na hatutaki ushauri wako,
 
Tafadhali sana,matapishi yako uliyotapikia humu JF,yapeleke kwa wanachama wa magamba,wasio na upeo lakini kwa makamanda wapigania uhuru dhidi ya mkoloni ccm,hatuhitaji,na hatutaki ushauri wako,
monongo uwe specific kwa mtu unayemlenga
 
Umekosa majibu! lakini huu ndio ukweli. Tumezaliwa katika CCM tunaijua vizuri, kama uliyokalilishwa yameisha nenda wakufundishe.
Leo TAKRIMA yako imeipata kwa tabu ulizani hutujui yaliyomo ndani ya GAMBA na haya ni kwa uchache!.
(Bila ya Posho (RUZUKU) ya vyama vyenye wabunge, CCM Wanakusnya kutoka;
1. Viwanja vya michezo mikoa yote na wilwyani pia
2. Nyumba za Bihashara karibu kila wilaya
3. Ada za wanachama karibu zaidi ya milioni tano.
4. Bakuli la kuomba kwa wafanyabihashara wanao ibomoa kwa sasa.
5. Bakuli kwa wawekezaji wa nje.
6. Ongezea na wahisani.
7. Migawo kutokana wizi wa mali za umma (uifisadi) kama EPA nk.
Sasa twmbie na wewe unapata mgawo au huwa unasubiri kofia tisheti kanga na vitenge wakati wa kampeni?
Au na wewe ni mmojawapo wa wale wanaolipwa kwa kuwajerui wapinzani?.)
vitu vilivyokuwa vya ccm enzi za chama kimoja lazima tupiganie virudishwe selikalini, maana hiyo si mali ya wanaccm tu bali ni mali ya watz wote, na vilijengwa kwa kodi na michango ya watz wote, Baada ya kuanza vyama vingi ilibidi mali za ccm ambayo ilikuwa ni sehemu ya selikali zirudishwe selikalini na pia hii ingesaidia kuleta usawa wa kisiasa kwa vyama vya kisiasa lakini sio huu usanii wa ccm walioufanya.
 
Huko sahihi Mkuu mnyikungu
na huo ndiyo utakuwa ukombozi wa M-Tanzania maana vitu hivyo vilichangiwa (UJENZI) na raia wote tena kwa lazima.
Cha ajabu CCM wanaving'ang'ani kama vile walivinunua lakini ilikuwa maeneo yanatengwa tu kama Mkapa alivyochukua eneo la kujenga uwanja mpya wa taifa.
Na sasa hivi wanachukua hata viwanja vya shule za msingi vya michezo eti ni vyao!. Wizi MTUPUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!.
 
jamani hii hoja ya ukabila imekua ikiendelezwa na wavivu wa kufikir,tunaangalia ilani na mipango ya chama kwa watanzania,hivi tukisema ccm imejaa watoto wa wakubwa waliorithishwa vyeo mtasemaje,we angalia kama jina lako halina ubini wa,kawawa,nnauye,makamba,mzindakaya,huna chako ccm,lakini kikubwa hapo ni misingi ya chama kuleta maendeleo kwa watanzania.Mbona mi naipenda chadema bila kujali kuna nani pale bali kwa misingi yake tu
 
na hili ndilo linalotuleta vijana pamoja mbele ya CDMA kuuuvunja huu mnyololo wa kurithishana uongozi, why kuwe na koo maarufu tu kusiwe na koo mpya kwenye siasa? HII NI KAZI AMBAYO VIJANA TUNATAKIWA KUFANYA, KUIONDOA CCM NA MASALIA YAKE YOTE NA KUHAKIKISHA KEKI YA TAIFA INAGAWIWA KWA USAWA NA PIA TUNASIMAMIA RASILIMALI ZETU ZIWE NA MANUFAA KWETU.
 
CCM inakodisha magari na pikipiki, nyie mmeuziwa mafuso mtumba mawili kwa million mia tatu hamsini (350,000,000).

Halafu kila mkutano mnachangishwa kila mkutano bila kuoneshwa matumizi ya fedha yenu. Hamuoneshwi fedha ya ruzuku inayotoka Serikalini inavyotumika, hamuoneshwi fedha za msaada wa kutoka chama cha kikristo cha siasa cha ujerumani zinavyotumika.

Wakati huohuo tunajionea Katibu Mkuu akijenga jumba la kifahari, Dar ambapo sio kwao, (jumba lake, sio la chama, lakini linajengwa na chama). Wakati huohuo tunaona mpaka hausi geli wa geli frendi wake akilipwa perdiem zaidi ya laki kwa siku (kuliko Mbunge), akilazwa hoteli ya nyota 5 kwa zaidi ya laki tatu kwa siku, wote hausi geli na gelifrendi, kwa fedha ya chama. Dahhh.

Badala ya nyinyi kuhoji yote hayo, mnakaa kutazama CCM wanakodisha nini. Ni watu wa ajabu sana.

Huu wote ni udaku! Leta evidence sio blaa blaa hizi!!
 
Back
Top Bottom