Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 927
- Thread starter
- #41
Ruhazwe jr pole sn ila najua wenye kukufitini wapo humu humu
Pia Madame B ni kwa ajili ya heat and run nilishangaa unaoa lol
Nawewe ulichemsha kweli
yamesha nikuta sina jinsi,yaan huwezi amini shemeji yako alishafikia hatua mpaka ya kutembe bila kuvaa pichu,namuuliza eti anajisikia joto,juzi tu nikamkuta kainamisha kwenye garden ya nyumbani kwangu na houseboy wangu Bishanga sijakb sawa kaniacha ndani nimelala naumwa,anadai anamfata dokta kumbe yupo kwa jilani anajipimia,mi sina hamu kabisa hiv namgoja mama yangu Mamndenyi nione atatoa ushauri gan
Last edited by a moderator: