Recent content by morio

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa kuweza kupata mtoto

    Ingawa nina haraka mno ngoja nishare na ww story yangu, i searched for a bby for good 8 yrs, in forth year of my trial nilikuwa diagnosed na PCOS Polycystic Ovarian Syndrome ikimaanisha my ovaries arent producing any eggs yako dormant kabisa. Was getting my MP kila mwezi bila kukosa and ila...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Mtanzania Marekani Wachomwa Moto Kwa Kukosekana Dola 6,000 Tu Za Kimarekani!!

    Never imagine in million yrs Kiranga ni kama muitikia kiitikio wa taarabu bendi ya Mzee Yusuph! Yaani nilikuwa nikiona post tu Kiranga lazima niisome ukianza na ile God issues, I am in Tz a woman below 30 nafanya kazi n from mkoa yaani ever thing ni my effort, hiyo bail uliyotoa $2500...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa dalili hizi, hakuna Katiba Mpya!

    Huko Uarabuni umeona kumetulia??
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Wanachama wa LAPF

    Mama aende ofc yoyote la lapf iliyoko karibu nanyi kabla ya 90 dayz atalipwa mafao ya uzazi! zones zipo MZa, Iringa, Dar, Dodoma n Ausha, hata kwa muajiri wake kuna fomu pia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hili limenikuta ktk test ya pspf

    Usidanganye watu,nilipata kazi nzuri sana Social Security nikiwa simjui mtu yeyote yule! Kwanza application alinifanyia mdogo wangu kwa utani tu, nikaitwa interview written n oral nikawa overall nikapewa kazi! Ilinichukua miezi kujua majina ya wakubwa. From my personal experience from ajira ya...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thamani ya Mwanaume kwa Mwanamke Inapanda Baada ya Kutendwa Kwingine!

    To grow with my A..s! akizipata anasepa , bora uzikute utumie akikuacha haviumi
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ni zaidi ya mkosi, wanaume nimewanyooshea mikono juu!

    Tulikaa miaka 8 from Sec to Collegue alivyopata kazi na maisha mazuri alimpa mimba best friend wa mdogo wangu! It was 4 yrs ago sijarecover todate,amemuoa pia bora ww kakuaga hakuniaga, wachache wanaozochanga pamoja end up in marriage! Concentrate on ur life ili ujustify maumivu kuwa ur okey...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninaumia sana jamani naombeni msaada wenu wa mawazo

    Ukikua utaacha, kitoto zaidi imekaa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Spika Makinda aburuza Bunge; aahirisha Bunge hadi kesho...

    Kuna watu wakipewa madaraka wanadhani wako on top of otherz despite of their low thnking capacity, ni nn hiki ss?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Live From LEO TUPO HAPA PUB, in PALOMA'S Birthday. Waawaaa!!!!!

    Hardly nafungua chit chart topics ila nasoma headlines, mfano mkikutana mahali u introduce each other by ur id names eehh? Maana mara sijui Tanga trip, white party...!
  11. M

    JamiiForums Tanzania JOB Opportunities:Ugently

    Contacts plz tuapply
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada:contacts za sapna(mafundi)

    mtafute fundi huyu 0715 530186 anaitwa Deo yuko Knyama ni mzuri kuliko maelezo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua Tiba Mbadala ya Amoeba Tafadhali Anijuze

    Fanya hii ni ukwi kabisa ! mdogo wangu tumesumbuka mpaka rufaa nikasoma ile uzi akafanya hivyo ss mzima kabisa like a miracle na alikunywa once!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Niligombea NEC Na Nimeshindwa Kihalali - Le Mutuz!

    No wonder umeshindwa hizi ndo akili zako!
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

    Tunatofautiana kufanikiwa! I was in big project nikapata hela za fasta nikajenga ss yy ajira ilikuwa ya kawaida! Sikuona shida mm nijenge yy tukae wote as with t angejenga tuhamie kwake tupangishe yangu! Inferiority complex at work! Wa aina hii hata bureee sitaki! A man should have confidence ...
Back
Top Bottom