Kwa dalili hizi, hakuna Katiba Mpya!

Kwa dalili hizi, hakuna Katiba Mpya!

Watu tunashidwa kuelewa,tatizo sio serikali 1 au 2 au 3 au hata majimbo,,,tatizo ni viongozi kukosa uzalendo,uchu wa madaraka na UFISADIIIIIIIIIIIIII
 
Yote haya sababu ya UKAWA. Wakati akina Lissu, Jussa na Abubakar walipokuwa kwenye kamati ya Kanuni, mambo yalitulia kwa vile wao walikuwa sehemu ya watendaji wa abunge Maalum. Wamemaliza kutunga kanuni sasa wameanza vurugu. Hakika UKAWA ndo tatizo[/QUOTE

Hivi wewe zumbukuku, unataka Katiba ya CCM? Si mkae huko Chimwaga mtunge Katioba yenu......sio kutumia rasilimali za taifa kwa upuuzi wenu huo!
 
Yote haya sababu ya UKAWA. Wakati akina Lissu, Jussa na Abubakar walipokuwa kwenye kamati ya Kanuni, mambo yalitulia kwa vile wao walikuwa sehemu ya watendaji wa abunge Maalum. Wamemaliza kutunga kanuni sasa wameanza vurugu. Hakika UKAWA ndo tatizo

Hahaaaaa yaani we mmatengo ukishavaa gamba tu unakuwa joka kweli kweli.
 
Laiti ungeelewa hiyo sentensi yangu usingekurupuka kuichangia..........haya tuambie kati ya HIRIZI, ROZARI na TASBIHI kipi TANGANYIKA, ZANZIBAR na TANZANIA? :eyebrows::eyebrows::eyebrows:

Wanaelewa lakini wanajitoa ufahamu tu.
 
Wewe siku zote huna hoja. Kazi ya kupiga debe tu mambo ya akina Mbowe

Hoja ni katiba mpya na uzito wa mawazo ya wananchi, whta says you!!!!??????
Mimi wa kupiga debe kiongozi wa kisiasa.........you real wish in your day dream!!!!!!!
 
Watu tunashidwa kuelewa,tatizo sio serikali 1 au 2 au 3 au hata majimbo,,,tatizo ni viongozi kukosa uzalendo,uchu wa madaraka na UFISADIIIIIIIIIIIIII

Ni kweli kabisa mkuu....tunafanyaje sasa...viongozi wa zanzibar ndio wamelianzisha hili kwa kutunga katiba yao...wakijitia wazanzibar ndio wanataka nchi yao....literally ndio wametufikisha hapa sasa...maamuzi magumu yafanyike kwa manufaa ya Tanzania...
 
Yote haya sababu ya UKAWA. Wakati akina Lissu, Jussa na Abubakar walipokuwa kwenye kamati ya Kanuni, mambo yalitulia kwa vile wao walikuwa sehemu ya watendaji wa abunge Maalum. Wamemaliza kutunga kanuni sasa wameanza vurugu. Hakika UKAWA ndo tatizo

tumia na akili hata kidogo tu, utagundua kama ulowataja ndo wanabadili kanuni au vinginevyo!
 
Ni kweli kabisa mkuu....tunafanyaje sasa...viongozi wa zanzibar ndio wamelianzisha hili kwa kutunga katiba yao...wakijitia wazanzibar ndio wanataka nchi yao....literally ndio wametufikisha hapa sasa...maamuzi magumu yafanyike kwa manufaa ya Tanzania...

Wametufikisha wapi sasa, why blame shifting hata kwa mambo yanayotaka a minimum responsibility!!!?????
Wao wanataka na hata humu unaona maandishi yao, katiba wameshatengeneza sasa unataka nini kutoka kwao!!!???

It is up to us Tanganyikans to follow suite
 
Nimebahatika kusoma michango mingi sana hapa Jamvuni juu ya suala zima la bunge la katiba na mambo mengine yanahusiana na mchakato mzima wa katiba mpya.

Nilichogundua ni kwamba wange wetu hatujaridhishwa na mchakato mzima unavyoenda, Tulikua na matarajio makubwa sana baada ya kuundwa kwa hili Bunge na kupatikana kwa mwenyekiti wa kasi na viwango kama alivyojinadi mzee wangu sitta.

Kutokana na kutoridhika na mwenendo mzima wa hili Jambo hasa baada ya hotuba ya mheshimiwa raisi tumeishia kulalamika kwenye mitandao na vyombo vingine vya habari.

ooh sijui wanakula kodi zetu bure, ooh raisi amelazimisha matakwa ya ccm ya serikali mbili, ooh sitta anachemka. haya yote yataishia humu kwenye mitandao na itakua ubatili mtupu.

Lets make steps!!! Tuanzishe bunge la wananchi

Bunge la Wananchi! duh! tutalianzishaje? Kama hawa hawa wananchi walikaa kimya wabunge wakijitungia sheria na kujipendelea wao wenyewe wawe wawakilishi bila ridhaa ya wananchi na hao wanaoitwa wananchi wakakaa kimya leo uwaambie waunde bunge lao mbona ni ngumu sana.
Kama kuna jambo la kuweza kufanwa ni kuwazindua wananchi wafahamu kinachoendelea ili watumie nafasi yao moja iliyobaki ya kupitsha au kutokupitisha rasimu itakayotoka kwenye bunge lililojichagua lenyewe na kwa kumfunika kilemba Rais wa nchi asiseme akaambiwa atapewa nafasi ya kuteua wateule wake. Naye akaona kuna fare deal.
 
vivian.. Wale wote ambao wako Dodoma kwenye hili linaloitwa bunge la katiba ni wanasiasa.. Hakuna hata mbunge au mwakilishi mmoja ambae amechaguliwa na wananchi kwenda kuwawakilisha kwenye bunge la katiba.. Kwa hiyo hayo yote yanayoendelea huko hayana baraka toka kwa wananchi japo kodi za wananchi ndo zinateketezwa huko.. Outcome yoyote itakayopatikana huko (hata kama positive) haitakuwa na nguvu kutokana wanasiasa kujichukulia shughuli si yao..

Ingetokea kukaitishwa uchaguzi kuwachagua wabunge wa bunge la katiba kwenye majimbo ambao wasingehusiana na vyama vyovyote vya siasa basi hapo tungekuwa na uhalali wa kuwaita ni wabunge wa bunge la katiba kwa kuwa wamechaguliwa na wananchi moja kwa moja kwa ajili ya kazi hiyo tu ya kutengeneza katiba.. Kinachotokea sasa hivi ni usanii na matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi..
 
Last edited by a moderator:
Yote haya sababu ya UKAWA. Wakati akina Lissu, Jussa na Abubakar walipokuwa kwenye kamati ya Kanuni, mambo yalitulia kwa vile wao walikuwa sehemu ya watendaji wa abunge Maalum. Wamemaliza kutunga kanuni sasa wameanza vurugu. Hakika UKAWA ndo tatizo

Kushindwa kufahamu tatizo ni tatizo zaidi. Mh. Pandu Kificho yeye alisoma majira ya nyakati akajaribu kutengeneza mambo kwa kuwa nia yake ilikuwa haijachakachuliwa na wenye ofisi kubwa bila kujua matumizi ya ofisi hizo. Kwa kiwango kikubwa hadi wakati wa uwasilishaji wa rasimu mambo yalikuwa yameanza kwenda sawa kwa mtindo wa maridhiano. Aliyeleta machafuko kwenye bunge hili la Katiba ni Mgeni aliyealikwa kulifungua bunge. Mgeni huyo hakwenda kujenga mshikamano bali alimwaga ----- watu wakabaki wanajikuna na hata wale wenye nia ovu wakapewa bakora na marungu kwa kauli ya mgeni. Ukweli ni kuwa Mgeni aliyealikwa alichafua hali ya hewa bungeni ama kwa makusudi au kwa uzembe na hata sasa hatma ya upatikanaji wa Katiba uko mashakani.
 
Kushindwa kufahamu tatizo ni tatizo zaidi.
Mgeni aliyealikwa alichaua hali ya hewa kwa makusudi au kwa uzembe na hata sasa hatma ya upatikanaji wa Katiba uko mashakani.

Hayo mawili umenena!

Ila, kwa kuyaweka sawa,huyo jamaa alichafua hali ya hewa kwa UJINGA wake.....bila kutafakari athari za aliyojiamulia kusema!
Na ndio fundisho kwa Wa Tanzania tusijerudia tena kuchagua watu wajinga kushika nafasi muhimu kitaifa!
 
naona leo wanataka kuahirisha bunge kisa hitilafu ya vipaza sauti wakati imetumika bilioni zaid ya 50 halaf mic vimeo
 
Kushindwa kufahamu tatizo ni tatizo zaidi. Mh. Pandu Kificho yeye alisoma majira ya nyakati akajaribu kutengeneza mambo kwa kuwa nia yake ilikuwa haijachakachuliwa na wenye ofisi kubwa bila kujua matumizi ya ofisi hizo. Kwa kiwango kikubwa hadi wakati wa uwasilishaji wa rasimu mambo yalikuwa yameanza kwenda sawa kwa mtindo wa maridhiano. Aliyeleta machafuko kwenye bunge hili la Katiba ni Mgeni aliyealikwa kulifungua bunge. Mgeni huyo hakwenda kujenga mshikamano bali alimwaga ----- watu wakabaki wanajikuna na hata wale wenye nia ovu wakapewa bakora na marungu kwa kauli ya mgeni. Ukweli ni kuwa Mgeni aliyealikwa alichafua hali ya hewa bungeni ama kwa makusudi au kwa uzembe na hata sasa hatma ya upatikanaji wa Katiba uko mashakani.

Naam Dan,
umenena vema! Hawa CCM kama wanapima upepo vile. unajua mwanzo kulikuwa na nia nzuri kabisa. ndio maana hata viongozi wengi wa dola km kina makinda walitoa maoni mazuri sana km spika kutokuwa mbunge na wengine mawaziri kutokuwa wabunge. Mabaraza yalioundwa na ofisi mbali mbali nza serikali nao walitoa mapendekezo ya kizalendo kabisa. hata mkuu wa nchi aliwaasa wenzake ccm wawe tayari kisaikolojia kupokea maoni tofauti na mwelekeo wao. Lakini ghafla kumetokea U-turn ya ajabu kabisa. leo watu wanakana hata mapendekezo waliyotoa. Kikwete mweneywe amejikuta akitoa kauli tata. Mfano alipokabidhiwa rasimu ya pili ya katiba aliongea vizuri sana kwamba vyama visiende kwenye bunge la katiba na misimamo ya vyama vyao. Ghafla amebadilika na kuanza kutenda kinyume na kauli zake. Ni nani huyu kiumbe anayewashauri CCM kuvuruga maoni ya wananchi?
 
ri
Huwezi kuvaa HIRIZI , ROZARI na TASBIHI kwa wakati mmoja!

Mkubwa, ukiangalia vizuri ubaini wazi kwamba zana hizi zimeasisiwa sehemu moja, kwa lengo moja, ila viwanda tofauti, kwa jamii tofauti na nyakati tofauti lakini makali yake yanatoka sehemu moja na hatima yake ni moja. Kwa hiyo anayeelewa zaidi anaweza kuzivaa zote kwa wakati mmoja.. Na ndiyo haya tunayaona.
 
CCM wamechoka na amani kutokana na ulevi wa madaraka wanayojihakikishia kwa ubabe utokanao na ujinga wa Watanzania na udhaifu wa katiba.

Inasikitisha sana kuona waziri mkuu naye anaanza kwenda kwenye media ku campaign uuuu mawazo yake. Eti waziri asipokuwa mbunge hatakuwa responsive kwa matatizo ya wananchi. Hivi TTTanznia inaongozwa nna system yaa aina gani ?
 
Kinachotuumiza watanganyika ni oga uliokithiri, kukosa uzalendo, unafiki wa ajabu na umasikini wa akili uliokithiri.
 
Back
Top Bottom