Hili limenikuta ktk test ya pspf

Hili limenikuta ktk test ya pspf

Haitoshi kuja Jf na kutoa malalamiko huku wewe umeacha kuchukua hatua. Change ni mimi, wewe na sisi, kwa pamoja tunaweza.
 
Bora ulikaa kimya. maana hata kama atapita hii ya kwanza ya pili atachemka ambayo ni oral.alaf yeye kuingia na desa hakukunyimi nafasi ya wewe kukosa at the end of the day inawekwa limit labda 75% kama yeye kavuka na wewe umevuka mtapambana mbele ya safari ..ALIEBEBWA HAJUI UMBALI WA SAFARI

Mkuu nimekubali hii quote yako, "Aliebebwa Hajui Umbali wa Safari".
Inatosha kutafakari hili kwa leo. Senkyu vere vere
 
ni hivi kwawalio kuwepo watanielewa, nilikaa upande wa majina ya e,f,g na h na mbele yangu alikaa dada/mama mmoja ambae alikuwa na answer sheet mbili, ila tulizopewa ni moja je hiyo ya pili yeye kaipata wapi? Na alizibana pamoja ili mtu asigundue kuwa anazo mbili na nilivyo iyona ilikuwa imeshajazwa kabisa ni swala la kuandika jina na kukusanya tu. Ilinikera sana na kuamini bado kuna tatizo kubwa la kupata ajira kwa haki, kama test zenyewe zinavuja hivyo then utasema washindi wamepatikana kihalali? Ingekuwa wewe ni mimi ungefanyaje? Je ningelilipua pale holini ingekuwa sawa au ningechafua mazingira? Hata number yake niliishika kabisa na niliporudi home nikaangalia majina na jinalake linaanzia na e.......

ulipaswa umlipue kwa nguvu zote, kama mbwai mbwai tu!!!
 
Kuna mtu alianzisha thread hapa ya PSPF aptitude na me nikasema ukweli kabisa kuwa hii haiko sawa coz wameshachaguana na majibu wanayo so kwenda pale ni kusindikiza tu!
DAH kuna watu waliniwakia eti nna mawazo mgando!anyway ukweli ndio huo ile ni changa la macho tu!watu walishachaguliwa.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mungu atupe rehema.

Kama huna ndugu ofisini, usithubutu kutuma vyeti vyene ufaulu wa juu, vitaishia kwenye shredder wakati wa sorting.
Hii naikataa, tuma tu ndugu MUNGU ni mkubwa kuliko wote hao. Mimi sijisifii lakini katika kujaribu nimeweza kupata angalau. Ingawa hayo mambo kweli yapo mengine tunatishana tu hakuna kitu
 
Mkuu ulikosea sana kunyamaza, huo ni ufisadi mkubwa wa elimu na ajira, inawezekana kabisa huyo dada/mama ni kihiyo, ndo maana kapewa hilodesa, anyway kwa kuwa ulishamsamehe, unejifunza siku nyingine usirudie kuacha mtu kama huyo
 
jana nilienda kufanya test ya pspf pale duce post ya compliance officer grade ii niliyo yaona sikuamini macho yangu na nilipigwa na butwaa nisijue hatua gani ya kuchukua na mwisho wa siku nikaaamua kumwachia mungu maana sikutaka kuongeza maadui maishani mwangu.
Ni hivi kwawalio kuwepo watanielewa, nilikaa upande wa majina ya e,f,g na h na mbele yangu alikaa dada/mama mmoja ambae alikuwa na answer sheet mbili, ila tulizopewa ni moja je hiyo ya pili yeye kaipata wapi? Na alizibana pamoja ili mtu asigundue kuwa anazo mbili na nilivyo iyona ilikuwa imeshajazwa kabisa ni swala la kuandika jina na kukusanya tu. Ilinikera sana na kuamini bado kuna tatizo kubwa la kupata ajira kwa haki, kama test zenyewe zinavuja hivyo then utasema washindi wamepatikana kihalali? Ingekuwa wewe ni mimi ungefanyaje? Je ningelilipua pale holini ingekuwa sawa au ningechafua mazingira? Hata number yake niliishika kabisa na niliporudi home nikaangalia majina na jinalake linaanzia na e.......

inji ii itajengwa na wenye m0y0 na kuliwa na wenye men0,,!
 
Mambo ya mulugo hayo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kumbe ndo wewe MY LOVE!. nilikuona jasho lilivyo kuwa linakutoka pale gorofani H A. hahahahaaaa...!!! Hukuangalia vizuri mkuu, pale kulikua na karatasi mbili. moja ya kujibia maswali yote 75 na nyingine ya kufanyia kazi ambayo nayo ulitakiwa uandike namba ya mtihani na kuikusanya. kutokana na kiwewe cha mtihani wewe ukafikiri karatasi moja kaingia nayo. hata hivyo hakuna ambalo haliwezekani bongo. watu wanaiba mtihani wa nec unaolindwa na polisi wakiwa na bubduki utakua ule?. Hii ndo bongo bana..hahaa. mia
 
Last edited by a moderator:

Mia uliona wapi answer sheet zinatolewa kama rough paper? kwanza tuliambia kazi zote za rough zifanyike kwenye question paper only, INAWEZEKANA NA WEWE ni mmoja wa wachakachuaji ndo maana unamtetea kilaza mwenzio.
 
ulitakiwa usemee palepale na sio kusema hapa mtandaoni,ulitakiwa kuwalipua ili waelewe kuwa walifanyalo si jema.sasa umewapa mwanya na ndio atakayepata kazi kwa ufauru mkubwa,huwezi tena kumrudisha nyuma kwani matokeo ndio yatakayo tumika kufanya maamuzi.
siku nyingine inalipuka tu bila hata kumwonea mtu haya.
 
Pole sana. Tena kwa Social Security Funds zote kupata ni tabu sana maana ndiko vimemo vimejaa. Kwa kifupi kupata kazi zile taasisi nzuri za serikali (zinazolipa kama BOT, security funds, EWURA, TPA, you mentin all) ni kazi kubwa kama huna memo. Unafaulu interview na hupati kazi,anapata wa kimemo hata sifa nzuri hana!! So sad, nepotism still on.

Usidanganye watu,nilipata kazi nzuri sana Social Security nikiwa simjui mtu yeyote yule! Kwanza application alinifanyia mdogo wangu kwa utani tu, nikaitwa interview written n oral nikawa overall nikapewa kazi! Ilinichukua miezi kujua majina ya wakubwa.

From my personal experience from ajira ya kwanza sijawahi mjua mtu yeyote ninakopata kazi. Guyz good qualifiactions na maandalizi mazuri ya kufanya interview unapata kazi tu. Be at the top kiasi ambacho hata kama panel nzima imehongwa wanaona aibu mtu una wastani wa A anayekufuata ana C wanakuchukuchua tu so be exceptional.

Mdogo wangu naye kamaliza chuo last year kapata bonge la kazi ndani field iliyojaa mtaani HR! Aliitwa inteview na masters holders ana degree tu na uzoefu wa 6months only kapata hiyo kazi, nilikaa naye whole night anajiandaa na interview tunadiscuss possibilities na nikamwambia my darling attitude na confidence basii plus ana vyeti vizuri no he is flying manager now na hata Masters bila kusahau hiyo kampuni we know nobodyyy!

So u can mnaotafuta kazi usikatishwe tamaa oohh lazima ujue mtu or uhonge! Ss tuliotoka bush hatuna adress town tusingepata kazi nzuri
 
Mhmmmmmm! nimepoteza uaminifu na watanzania walio wengi, sawa mnatutia moyo ila moyo wa kiivyo ni sawa na kumtibu mgonjwa wa malaria kwa uji mwembaaaaaaa.
 
Hamkosagi visingizio interview zikiwachapa!,any way kama ni kweli nawe ni mzalendo kwa nini usingemripoti mpaka utuletee umbea wako hapa jf!ndio maana wanasiasa wanaishusha hadhi jf wana kiona kama kiwanda cha uongo na uchochezi!
kitu kingine tujifunzee jamani kama uwezo wako mdogo yaani hauko compentent enough to compete kwa nn unaenda usaili wa watu 2000 Kwa post tatu tu?BEST OF LUCK kwa wote mnaosubiria majibu
 
Jana nilienda kufanya test ya PSPF pale DUCE post ya compliance officer grade II niliyo yaona sikuamini macho yangu na nilipigwa na butwaa nisijue hatua gani ya kuchukua na mwisho wa siku nikaaamua kumwachia Mungu maana sikutaka kuongeza maadui maishani mwangu.
Ni hivi kwawalio kuwepo watanielewa, nilikaa upande wa majina ya E,F,G NA H na mbele yangu alikaa dada/mama mmoja ambae alikuwa na answer sheet mbili, ila tulizopewa ni moja je hiyo ya pili yeye kaipata wapi? na alizibana pamoja ili mtu asigundue kuwa anazo mbili na nilivyo iyona ilikuwa imeshajazwa kabisa ni swala la kuandika jina na kukusanya tu. Ilinikera sana na kuamini bado kuna tatizo kubwa la kupata ajira kwa haki, kama test zenyewe zinavuja hivyo then utasema washindi wamepatikana kihalali? INGEKUWA WEWE NI MIMI UNGEFANYAJE? JE NINGELILIPUA PALE Holini ingekuwa sawa au ningechafua mazingira? Hata number yake niliishika kabisa na niliporudi home nikaangalia majina na jinalake linaanzia na E.......

ameshapewa job tayari huyo hapo mnajisumbua tu c bora ungelala tu!
 
kweli hawakosi sababu wanadhani ajira lele mama!mi nimeamua kuwa mkulima tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom