john hotsam da1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2012
- 396
- 79
habari,nimekuwa nikiambiwa kua kuna sehemu dar yenye mafundi simu WATAALAM,wanaojiita sapna.sasa nina ipod touch 4G imepasuka screen ila inafanya kazi kama awali,ninahitaji kurepair hivyo mwenye namba zao za simu au anayjua walipo anisaidie
natanguliza shukrani!!!
natanguliza shukrani!!!