Msaada kwa Wanachama wa LAPF

Msaada kwa Wanachama wa LAPF

Goodluck Mshana

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Posts
1,272
Reaction score
1,128
Habarini wapendwa.

Naomba msaada kwa wanachama wenye uelewa na huu mfuko wa kijamii wa LAPF.
Ni hivi, si muda mrefu (wiki 2) toka Mke wangu ajifungue! Tumekuwa tukijiuliza kila leo
endapo kuna fungu (pesa) la mzazi ndani ya mfuko huu kwa wanachama. Mke wangu ni
mwanachama kwa miaka 3 sasa. Lengo ni kupata haki za mwanachama. Pesa za kumlea
mama na mtoto ninazo (maana najua wengine mtakuja na mitazamo tofauti). Msaada kwa
waelewa tafadhaki.

Ahsanteni!
 
Habarini wapendwa.

Naomba msaada kwa wanachama wenye
uelewa na huu mfuko wa kijamii wa LAPF.
Ni hivi, si muda mrefu (wiki 2) toka Mke wangu ajifungue! Tumekuwa tukijiuliza kila leo

endapo kuna fungu (pesa) la mzazi ndani ya mfuko huu kwa wanachama. Mke wangu ni
mwanachama kwa miaka 3 sasa. Lengo ni kupata haki za mwanachama. Pesa za kumlea
mama na mtoto ninazo (maana najua wengine mtakuja na mitazamo tofauti). Msaada kwa
waelewa tafadhaki.

Ahsanteni!
Mama aende ofc yoyote la lapf iliyoko karibu nanyi kabla ya 90 dayz atalipwa mafao ya uzazi! zones zipo MZa, Iringa, Dar, Dodoma n Ausha, hata kwa muajiri wake kuna fomu pia
 
Habarini wapendwa.

Naomba msaada kwa wanachama wenye uelewa na huu mfuko wa kijamii wa LAPF.
Ni hivi, si muda mrefu (wiki 2) toka Mke wangu ajifungue! Tumekuwa tukijiuliza kila leo
endapo kuna fungu (pesa) la mzazi ndani ya mfuko huu kwa wanachama. Mke wangu ni
mwanachama kwa miaka 3 sasa. Lengo ni kupata haki za mwanachama. Pesa za kumlea
mama na mtoto ninazo (maana najua wengine mtakuja na mitazamo tofauti)
. Msaada kwa
waelewa tafadhaki.

Ahsanteni!
hapo kwenye red umejihami vizuri maana humu jf kuna watu wana mambo ya ajabu
 
Vip na kwa wanaume hawapati? Kwan nami ni mwanachama na mwezi wa tisa mke wangu alijifungua je siwezi pata mafao?
 
Mama aende ofc yoyote la lapf iliyoko karibu nanyi kabla ya 90 dayz atalipwa mafao ya uzazi! zones zipo MZa, Iringa, Dar, Dodoma n Ausha, hata kwa muajiri wake kuna fomu pia

Asante mkuu

wacha kesho nianze mchakato...unajua wengi hawaijui haki hii kama sio fursa toka LAPF. Pamoja sana
 
Nenda au mkeo aende oficn kwake akajaze fomu ambazo ataambatanisha na vitu vichache vilivyopo kwenye fomu.
 
Wahi kabla siku 90 hazijaisha toka mtoto alipozaliwa,,kuna fomu ya kujaza ipo online www.lapf.org unaambatanisha taarifa ya uzazi toka hosp km bado mtoto hajapata cheti cha kuzaliwa,,ni rahisi,,atapewa 149% ya basic salary yake. Hakuna usumbufu wala ubabaishaji ni fao la wazi sema wengi hawajui kutokana kutotangazwa fao hili ktk media.
 
Hivi kuna mtu alishawahi pata hili fao la uzazi kweli? Maana miye nimefuatilia mpaka nimekata tamaa mwenyewe, kila siku dana dana.
 
Sidhani kama ni kweli. Uko wapi?

Amini usiamini huu ni mwezi wa sita sasa naambiwa file langu lipo kwenye stage nzuri ya malipo na litalipwa muda wowote. Haya nilianza kuambiwa toka mwezi wa pili, mpaka sasa mwezi wa sita.
Kama mwenzangu ulipata (au unafanya kazi hapo), shukuru ila wengine tunajiuliza kama hii hela ndogo inachukua zaidi ya miezi sita, siku nikistaafu mafao yangu nitapata kweli au ntafia kwenye foleni nikiyangojea
 
Habarini wapendwa.

Naomba msaada kwa wanachama wenye uelewa na huu mfuko wa kijamii wa LAPF.
Ni hivi, si muda mrefu (wiki 2) toka Mke wangu ajifungue! Tumekuwa tukijiuliza kila leo
endapo kuna fungu (pesa) la mzazi ndani ya mfuko huu kwa wanachama. Mke wangu ni
mwanachama kwa miaka 3 sasa. Lengo ni kupata haki za mwanachama. Pesa za kumlea
mama na mtoto ninazo (maana najua wengine mtakuja na mitazamo tofauti). Msaada kwa
waelewa tafadhaki.

Ahsanteni!

Nenda ofic zao na docoment za mtoto kabla za siku 90 ukafute mpunga
 
Amini usiamini huu ni mwezi wa sita sasa naambiwa file langu lipo kwenye stage nzuri ya malipo na litalipwa muda wowote. Haya nilianza kuambiwa toka mwezi wa pili, mpaka sasa mwezi wa sita.
Kama mwenzangu ulipata (au unafanya kazi hapo), shukuru ila wengine tunajiuliza kama hii hela ndogo inachukua zaidi ya miezi sita, siku nikistaafu mafao yangu nitapata kweli au ntafia kwenye foleni nikiyangojea

Hawa lapf nao ni wezi wengine...ukifatilia malipo unaambiwa I one month utaingiziwa pesa...mpk sasa ni 4 month...kimyaaaaa
 
Ndugu yangu ChiefmTz hope umemsikia ndugu tofali naye anachokisema. Nakumbuka kuna siku mfanyakazi aliyekuwa ananihudumia alishaniacha kwenye meza yake namngojea, kumbe yeye katimkia mjini kwenye mambo yako.
 
Last edited by a moderator:

Cha ajabu, form zao hazina sehemu ya kujaza next of kin. Eti mwanachama akifariki, basi hadi ndugu waende mahakamani kumteua mrithi.

Kingine kikubwa, wanawaogopa waajiri. Michango haipelekwi hadi miezi 7, 8 lakini hakuna wanachofanya!
 
Hayo matukio yametokea wapi?
 
Last edited by a moderator:
Amini usiamini huu ni mwezi wa sita sasa naambiwa file langu lipo kwenye stage nzuri ya malipo na litalipwa muda wowote. Haya nilianza kuambiwa toka mwezi wa pili, mpaka sasa mwezi wa sita.
Kama mwenzangu ulipata (au unafanya kazi hapo), shukuru ila wengine tunajiuliza kama hii hela ndogo inachukua zaidi ya miezi sita, siku nikistaafu mafao yangu nitapata kweli au ntafia kwenye foleni nikiyangojea

Mbona mimi wife alipata fasta. Pengine kwa kuwasaidia watu wa LAPF, hebu taja location ya hiyo ofisi ili nasi tujue.
 
Ndugu yangu ChiefmTz hayo matatizo yapo hasa ofisi ya kanda ya mashariki, i mean Dar. Head office-Dodoma hakuna shida, huduma zao utazipenda, ila huku kwenye kanda ndo kwenye vimungu mtu. Najua inawezekana ikawa sababu ya kazi za kujuana ndo maana wanaona hakuna wa kuwawajibisha. Kazi mtu kapata kwa kimemo unadhani atahangaika na wewe, anasahau kama michango yetu ndo inayomlipa yeye mshahara
 
Last edited by a moderator:
Mbona mimi wife alipata fasta. Pengine kwa kuwasaidia watu wa LAPF, hebu taja location ya hiyo ofisi ili nasi tujue.

Dar hii hiii...pale kijitonyama..millennium tower...tangu july mwshoni mpk sasa si wizi huo
 
Cha ajabu, form zao hazina sehemu ya kujaza next of kin. Eti mwanachama akifariki, basi hadi ndugu waende mahakamani kumteua mrithi.

Kingine kikubwa, wanawaogopa waajiri. Michango haipelekwi hadi miezi 7, 8 lakini hakuna wanachofanya!

Ni wapuuzi..hela zangu wanazikatalia za nn
 
Back
Top Bottom